Je, nirudiane naye?

Je, nirudiane naye?

Soma kwanza, maliza shule, tafuta hela ndio mapenzi utayaenjoy.
Sasa bado wadogo sana kwa hayo mambo
 
Habari wakuu

Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2017 nikiwa form 2 nilikuwa kwenye mahusiano na demu mmoja ambaye tulipendana mno, mapenzi ya kishule shule yale. kidume nilizama mno kiasi kwamba nilikuwa sioni sisikii kwa yule demu. Tumuite Kai kwenye huu uzi.

Tatizo lilianzia siku moja ambapo tulienda kwao mimi na bro na mshikaji wangu fulani, katika kuzungumza nikamuuliza jina analotumia fb yeye akasema hayupo fb ila kipindi tunaaga mimi nilitangulia mbele nikamsikia akimtajia bro wangu jina analotumia fb, nilimind ( 😂 utoto kazi ) ila sikusema chochote.

Tuachane na hayo, kuna siku tena nilienda kwao na mshikaji wangu akakaza hakutoka nje tulikaa kama lisaa zima mpaka tukasepa, dah! nilimind kinyama nikasepa home kichwa kikiwa cha moto mno. Binafsi ni mtu mwenye hasira sana ( nimewahi kuanzisha Uzi kuhusiana na hili ) yani sipendi unyonge.

Sasa baada ya kufika home kuingia fb kama mungu tu nikakutana na rafiki yake wa karibu na Kai ambaye hakuwa anajua kama nadate na rafiki yake. Niwarudishe nyuma kidogo, kwa kipindi kile Kai alikua bado bikra na mimi kwa utoto sikuwa nafahamu namna ambavyo virgins wanasumbua kwahiyo nikawa naona kama ananiletea dharau tu. Nikiri tu kwamba kwa jinsi ambavyo nilikua nampenda kumuacha nilikua siwezi yani nisingeweza kuhimili kumuona na jamaa mwingine baada ya kuachana.

Lakini kutokana na pride, unazi na hasira za kipumbavu niliamua kwamba nitafanya kitu ili aniache yeye ( kumuacha si imeshindikana bwana! ). Haya tuendelee, basi usiku ule ule nikamtongoza rafiki yake nikaomba na mzigo kabisa na nikataja na style nitakazo mpiga 😂😂 sikuishia hapo nikamponda Kai ipasavyo, nia yangu haikua kumla rafiki wa dem wangu ila ni kuonyesha umwamba tu yani asinichukulie kinyonge.

Siku hazigandi, baada ya wiki chache shule zilifunguliwa na tukaingia form 3, wiki ya kwanza kabisa baada ya kuanza shule yule dem ( rafiki wa Kai ) sikuwahi hata kuongea nae infact nilisha sahau hata kama nilimtongoza. Wiki iliyofuata yule dem sijui nini kili msibu akaamua kuvujisha kila kitu na kama unavyojua wasichana, baada ya muda mchache yalisambaa darasa zima.

Nikiri tu kwamba nilipitia wakati mgumu sana kwenye maisha yangu ya shuleni ukilinganisha na umri mdogo niliokuwa nao na kamwili kadogo niliko nako na kasura flani kakitoto hali iliyo nifanya nionekane miaka 2 mdogo zaidi ya umri wangu. Walini dhalilisha mno, walizungumza mengi mabaya kusudi tu kunichafua, nilitengwa na karibia darasa lote lakini sikuwahi kumjibu yeyote yule, ilimradi nililopanga limetimia.

Ambacho sikuweza kuamini ni kumuona Kai pia akishirikiana na rafiki zake kunisagia kunguni 😀😀 .. just like that tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake ila ambacho kilini shangaza kutoka kwake ni wivu uliopitiliza kwani hakutaka kabisa kuniona nina ukaribu na msichana mwingine yeyote na aliponiona nina ukaribu na msichana yeyote shuleni basi alituma rafiki zake kama sio yeye mwenyewe kutema sumu ili tu ule ukaribu ufe, hali iliyo waaminisha washkaji zangu kuwa Kai bado alikua akinipenda mno japokuwa tulikua tayari tumekwisha achana.

Siku zilikwenda na mwaka mmoja baadae tukiwa tunakaribia kumaliza mitihani ya form 4 ( tukiwa hatuzungumzi ) alikwenda kwa moja ya marafiki zangu wa karibu sana akitaka namba yangu ( ilinishangaza ).

Wakuu hii story nimefupisha sana maana ningeamua kuandika each and everything tungetafutana hapa hivyo kufupisha story zaidi ni kwamba imepita miaka 2 sasa tangu tumalize form 4 kwa sasa sote tupo kidato cha 6 shule tofauti, alinitafuta kupitia namba yangu ya simu na tunachat kama kawaida ila ni ile friendly tu, lakini nilichogundua kutoka kwake ni kwamba anahitaji sana kurudiana na mimi ila ndo hivyo namkwepa kwepa ila nina uhakika wa asilimia zote kwamba nikitupa nyavu ngoma lazima ijipe.

Wakuu, mimi bado mdogo sana na tena bado mwanafunz sio kwamba nasukuma ki-IST na yeye anatafuta unafuu wa maisha, hapana! hali inayonifanya niamini kuwa ni mapenzi ya kweli. Kinacho nifanya nisite kurudiana nae ni kumbu kumbu ya yale waliyo nifanyia na rafiki zake lakini hapo hapo pia najipa moyo kuwa ni utoto tu na bad influence ya rafiki zake.

Kitu kingine kinachonipa moyo ni kwamba amekuwa muwazi sana kwangu, aliweza kuniambia kwamba kwa kipindi ambacho tuliachana kuna jamaa alidate nae na ndio alimtoa bikra ( kama mwanaume, hii iliniuma ila ndo hivyo bwana! hajani cheat kwani si tulikua tumeachana !) Ila kwa sasa wameachana na yeye yupo single.

Nawezaje kujiaminisha kwamba anachosema ni cha kweli, well kuna machache yanayonipa tumaini, kwanza kabisa mtandaoni anaonekana kwa nadra sana na hata ninavyo andika hapa muda huu, last seen yake WhatsApp ni saa tatu asubuhi, meseji zangu anazijibu kwa wakati na mara nyingi nikiwa nachat nae hata saa mbili za usiku simu yangu ikiisha chaji nikamwambia good night basi na yeye atatoka online .. hii inani aminisha kwamba alikua akichat na mimi peke yangu. 😎😎

Anaweza maliza hata siku mbili bila kuonekana mtandaoni ukimuuliza anakuambia hana bando ( japo nikiri kuwa hapa nilimchana live kwamba bando atanunuliwa na baba yake mzazi, sipendi kuingilia majukumu yasiyo nihusu, nisije mnunulia akaanza chat na vijamaa vyake vyingine nikajua yakazuka mengine )

Wakuu, sio kwamba siwezi kuachana na Kai nikaendelea na maisha yangu mengine na kum-judge kwa walionitendea na rafiki zake lakini je huko mbeleni mwanamke nitakaye kuja kumuoa atakua malaika kwamba hato kosea ? ..jibu ni hapana, ndio maana naona ni bora kuendelea na huyu huyu tuliojuana tangu utotoni na kupitia ups and downs kadhaa.

Lakini pia nikikumbuka kwa umakini napata kugundua kwamba mimi ndio chanzo cha yote 😂😂 .. kama isingekua kwa unazi wangu uliopitiliza yote yasinge tokea.

Najua kuna watu watakuja na nasaha zao tofauti wakinisihi niachane na hayo mambo, nikomae na shule ila ninachotaka kuwaambia ni kwamba, kuna maisha baada ya shule na ukizingatia Kai ni mwanamke ninaye tamani kufanya nae maisha kama mke wangu siku za mbeleni hivyo kaeni kwa kutulia.

Yapo mengi sana ningependa kuyaweka hapa ila nimechoka kutype.. hivyo wakuu nimeileta hapa mada hii najua JF ni kisima cha maarifa hivyo nakaribisha ushauri kwamba nirudishe majeshi au lah! .. na pia mtaniambia wapi ninapofeli kulingana na ambavyo utakavyokua umesoma Uzi.

Sounds childish eeh? Mapenzi ya shule ndivyo yalivyo hayajawahi kusound mature hata kidogo ila ushauri wako muhimu ..

NAWASILISHA
Kama hutaki kusumbuliwa na aliyemtoa bikra mpe mimba na uhakikishe amezaa. Ukifanya hivyo utakuwa salama otherwise utapata tabu sana.
 
tapatalk_1602420721.jpg
 
Habari wakuu

Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2017 nikiwa form 2 nilikuwa kwenye mahusiano na demu mmoja ambaye tulipendana mno, mapenzi ya kishule shule yale. kidume nilizama mno kiasi kwamba nilikuwa sioni sisikii kwa yule demu. Tumuite Kai kwenye huu uzi.

Tatizo lilianzia siku moja ambapo tulienda kwao mimi na bro na mshikaji wangu fulani, katika kuzungumza nikamuuliza jina analotumia fb yeye akasema hayupo fb ila kipindi tunaaga mimi nilitangulia mbele nikamsikia akimtajia bro wangu jina analotumia fb, nilimind ( utoto kazi ) ila sikusema chochote.

Tuachane na hayo, kuna siku tena nilienda kwao na mshikaji wangu akakaza hakutoka nje tulikaa kama lisaa zima mpaka tukasepa, dah! nilimind kinyama nikasepa home kichwa kikiwa cha moto mno. Binafsi ni mtu mwenye hasira sana ( nimewahi kuanzisha Uzi kuhusiana na hili ) yani sipendi unyonge.

Sasa baada ya kufika home kuingia fb kama mungu tu nikakutana na rafiki yake wa karibu na Kai ambaye hakuwa anajua kama nadate na rafiki yake. Niwarudishe nyuma kidogo, kwa kipindi kile Kai alikua bado bikra na mimi kwa utoto sikuwa nafahamu namna ambavyo virgins wanasumbua kwahiyo nikawa naona kama ananiletea dharau tu. Nikiri tu kwamba kwa jinsi ambavyo nilikua nampenda kumuacha nilikua siwezi yani nisingeweza kuhimili kumuona na jamaa mwingine baada ya kuachana.

Lakini kutokana na pride, unazi na hasira za kipumbavu niliamua kwamba nitafanya kitu ili aniache yeye ( kumuacha si imeshindikana bwana! ). Haya tuendelee, basi usiku ule ule nikamtongoza rafiki yake nikaomba na mzigo kabisa na nikataja na style nitakazo mpiga sikuishia hapo nikamponda Kai ipasavyo, nia yangu haikua kumla rafiki wa dem wangu ila ni kuonyesha umwamba tu yani asinichukulie kinyonge.

Siku hazigandi, baada ya wiki chache shule zilifunguliwa na tukaingia form 3, wiki ya kwanza kabisa baada ya kuanza shule yule dem ( rafiki wa Kai ) sikuwahi hata kuongea nae infact nilisha sahau hata kama nilimtongoza. Wiki iliyofuata yule dem sijui nini kili msibu akaamua kuvujisha kila kitu na kama unavyojua wasichana, baada ya muda mchache yalisambaa darasa zima.

Nikiri tu kwamba nilipitia wakati mgumu sana kwenye maisha yangu ya shuleni ukilinganisha na umri mdogo niliokuwa nao na kamwili kadogo niliko nako na kasura flani kakitoto hali iliyo nifanya nionekane miaka 2 mdogo zaidi ya umri wangu. Walini dhalilisha mno, walizungumza mengi mabaya kusudi tu kunichafua, nilitengwa na karibia darasa lote lakini sikuwahi kumjibu yeyote yule, ilimradi nililopanga limetimia.

Ambacho sikuweza kuamini ni kumuona Kai pia akishirikiana na rafiki zake kunisagia kunguni .. just like that tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake ila ambacho kilini shangaza kutoka kwake ni wivu uliopitiliza kwani hakutaka kabisa kuniona nina ukaribu na msichana mwingine yeyote na aliponiona nina ukaribu na msichana yeyote shuleni basi alituma rafiki zake kama sio yeye mwenyewe kutema sumu ili tu ule ukaribu ufe, hali iliyo waaminisha washkaji zangu kuwa Kai bado alikua akinipenda mno japokuwa tulikua tayari tumekwisha achana.

Siku zilikwenda na mwaka mmoja baadae tukiwa tunakaribia kumaliza mitihani ya form 4 ( tukiwa hatuzungumzi ) alikwenda kwa moja ya marafiki zangu wa karibu sana akitaka namba yangu ( ilinishangaza ).

Wakuu hii story nimefupisha sana maana ningeamua kuandika each and everything tungetafutana hapa hivyo kufupisha story zaidi ni kwamba imepita miaka 2 sasa tangu tumalize form 4 kwa sasa sote tupo kidato cha 6 shule tofauti, alinitafuta kupitia namba yangu ya simu na tunachat kama kawaida ila ni ile friendly tu, lakini nilichogundua kutoka kwake ni kwamba anahitaji sana kurudiana na mimi ila ndo hivyo namkwepa kwepa ila nina uhakika wa asilimia zote kwamba nikitupa nyavu ngoma lazima ijipe.

Wakuu, mimi bado mdogo sana na tena bado mwanafunz sio kwamba nasukuma ki-IST na yeye anatafuta unafuu wa maisha, hapana! hali inayonifanya niamini kuwa ni mapenzi ya kweli. Kinacho nifanya nisite kurudiana nae ni kumbu kumbu ya yale waliyo nifanyia na rafiki zake lakini hapo hapo pia najipa moyo kuwa ni utoto tu na bad influence ya rafiki zake.

Kitu kingine kinachonipa moyo ni kwamba amekuwa muwazi sana kwangu, aliweza kuniambia kwamba kwa kipindi ambacho tuliachana kuna jamaa alidate nae na ndio alimtoa bikra ( kama mwanaume, hii iliniuma ila ndo hivyo bwana! hajani cheat kwani si tulikua tumeachana !) Ila kwa sasa wameachana na yeye yupo single.

Nawezaje kujiaminisha kwamba anachosema ni cha kweli, well kuna machache yanayonipa tumaini, kwanza kabisa mtandaoni anaonekana kwa nadra sana na hata ninavyo andika hapa muda huu, last seen yake WhatsApp ni saa tatu asubuhi, meseji zangu anazijibu kwa wakati na mara nyingi nikiwa nachat nae hata saa mbili za usiku simu yangu ikiisha chaji nikamwambia good night basi na yeye atatoka online .. hii inani aminisha kwamba alikua akichat na mimi peke yangu.

Anaweza maliza hata siku mbili bila kuonekana mtandaoni ukimuuliza anakuambia hana bando ( japo nikiri kuwa hapa nilimchana live kwamba bando atanunuliwa na baba yake mzazi, sipendi kuingilia majukumu yasiyo nihusu, nisije mnunulia akaanza chat na vijamaa vyake vyingine nikajua yakazuka mengine )

Wakuu, sio kwamba siwezi kuachana na Kai nikaendelea na maisha yangu mengine na kum-judge kwa walionitendea na rafiki zake lakini je huko mbeleni mwanamke nitakaye kuja kumuoa atakua malaika kwamba hato kosea ? ..jibu ni hapana, ndio maana naona ni bora kuendelea na huyu huyu tuliojuana tangu utotoni na kupitia ups and downs kadhaa.

Lakini pia nikikumbuka kwa umakini napata kugundua kwamba mimi ndio chanzo cha yote .. kama isingekua kwa unazi wangu uliopitiliza yote yasinge tokea.

Najua kuna watu watakuja na nasaha zao tofauti wakinisihi niachane na hayo mambo, nikomae na shule ila ninachotaka kuwaambia ni kwamba, kuna maisha baada ya shule na ukizingatia Kai ni mwanamke ninaye tamani kufanya nae maisha kama mke wangu siku za mbeleni hivyo kaeni kwa kutulia.

Yapo mengi sana ningependa kuyaweka hapa ila nimechoka kutype.. hivyo wakuu nimeileta hapa mada hii najua JF ni kisima cha maarifa hivyo nakaribisha ushauri kwamba nirudishe majeshi au lah! .. na pia mtaniambia wapi ninapofeli kulingana na ambavyo utakavyokua umesoma Uzi.

Sounds childish eeh? Mapenzi ya shule ndivyo yalivyo hayajawahi kusound mature hata kidogo ila ushauri wako muhimu ..

NAWASILISHA
Mdogo wangu XII Tz kwanza nikupongeze kwa ku-share hii story hapa jukwaani, nina declare interest (mimi ni mpenzi wa hizi stories)

Pili, tukirudi kwenye andiko sasa, mosi kutoka kwenye ulichokiandika, Lazima ukiri kuwa ulikosea sana kuiacha hiyo bikra ipotee kwa mtu mwingine, (kwani wakati mna date uliwahi kumuomba mchezo? jibu lake lilikuwa ni lipi? naomba unijibu pls.

Pili, kutoka katika andiko, Kuna mahali unasema eti huwezi kumpa vocha sijui nini nini, Kuna shits umeongea hapo (uendeshaji wa mahusiano hauna fomula moja lkn kwenye hili umepuyanga mdogo wangu). Hata Kai anajua kuwa hauna kitu lkn trust me mwanamke anahitaji kuhudumiwa HATA KWA KIDOGO, ondoa hiyo mentality ya kimapokeo, mpe huduma HATA KWA KIDOGO, we ktk pocket money yako unakosa hata 3500/= ya pedi!?

Tatu, wewe unampenda Kai, sasa ukichelewa kumuonesha upendo wakati huu ambao na yy anaonesha kukupenda (kwa kujifanya mgumu), kumbuka kuna msela kasepa na Yamini ya Kai yule akianza kurudisha majeshi trust me atakuwa na nafasi kubwa ya kuuteka moyo wa Kai kuliko ww, (fanya chapu Anza kumuonesha mapenzi)

Nne, usione so kupenda sana wanaume tumeumbwa kupenda mzee, MWANAMKE HUWA HAPENDI WENYEWE, hadi mtu aje atengeneze mazingira SHAWISHI.

So me ushauri wangu, rudiana na Kai na umpende saaaaana, usiogope maumivu ety ooh Kuna siku ataku-cheat sijui, UCHUNGU WA NYANYA CHUNGU NDIYO UTAMU WAKE ETY.

NB: Rudiana na Kai, yule aliyedate naye after ww, akianza kurudisha majeshi ingali ww bado upo dilema, utakuwa huna chako wakati deep in side unampenda Kai.
 
Bado mtoto rafiki angu
 
Mkuu kuhusu kumuomba game, utoto ulikua mwingi sana nilikua mdogo sana hata hivyo na yeye mwenyewe alikua anaogopa kwakua alikua bado bikra.

Hapo namba 2, hayo maneno nimeyatumia kama defensive mechanism lakini sio kwamba nilimaanisha. Najua una fahamu kuwa kuna baadhi ya wanawake hawana shukrani unaweza kujitolea kumsaidia ila mwenyewe akahisi anakuchuna. Pia lazima tukubali kwamba Kai wa sasa sio yule wa zamani, amesha wajua wanaume japokuwa bado anaonyesha upendo wa kweli kwangu hivyo nisingependa kuwekwa kwenye kundi moja na maboya anao wachuna ( kama wapo ) .. ila sio kama ndo nimevunga moja kwa moja, mara chache chache mbona namtoaga sana buku buku hizi za vocha .. sikumaanisha nilichosema bali nilitaka kumjengea mazingira tu yeye asione kama natumia hela kama kigezo cha kumpata . .
 
@XII Tz Ok it's fine, nimekuelewa mdogo wangu, but my take for now, hakikisha unamrudia Kai na unampenda vilivyo.

Halafu if possible fanya mpango umfahamu huyo ex wa Kai hata kwa picha tu, then tafuta weakness za jamaa hasa zile zilizo sababisha yy na Kai kuachana, then wewe zifanyie kazi ziwe strength.

In a nutshell, Hakikisha una-mtreat Kai kwenye ngazi ambayo hata pata japo sekunde ya kumkumbuka huyo ex wake,(utawezaje; rejea paragraph ya pili hapo juu)

me nakutakia kila la kheri mdogo wangu, wewe pamoja na mrembo wako Kai.

#𝒍𝒐𝒗𝒆𝒊𝒔𝒃𝒆𝒂𝒖𝒕𝒊𝒇𝒖𝒍𝒍

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Sijasoma uzi lakin nijibu tu hapana..ukishaachana na mtu usirudiane nae.
 
Habari wakuu

Niende moja kwa moja kwenye mada, mwaka 2017 nikiwa form 2 nilikuwa kwenye mahusiano na demu mmoja ambaye tulipendana mno, mapenzi ya kishule shule yale. kidume nilizama mno kiasi kwamba nilikuwa sioni sisikii kwa yule demu. Tumuite Kai kwenye huu uzi.

Tatizo lilianzia siku moja ambapo tulienda kwao mimi na bro na mshikaji wangu fulani, katika kuzungumza nikamuuliza jina analotumia fb yeye akasema hayupo fb ila kipindi tunaaga mimi nilitangulia mbele nikamsikia akimtajia bro wangu jina analotumia fb, nilimind ( utoto kazi ) ila sikusema chochote.

Tuachane na hayo, kuna siku tena nilienda kwao na mshikaji wangu akakaza hakutoka nje tulikaa kama lisaa zima mpaka tukasepa, dah! nilimind kinyama nikasepa home kichwa kikiwa cha moto mno. Binafsi ni mtu mwenye hasira sana ( nimewahi kuanzisha Uzi kuhusiana na hili ) yani sipendi unyonge.

Sasa baada ya kufika home kuingia fb kama mungu tu nikakutana na rafiki yake wa karibu na Kai ambaye hakuwa anajua kama nadate na rafiki yake. Niwarudishe nyuma kidogo, kwa kipindi kile Kai alikua bado bikra na mimi kwa utoto sikuwa nafahamu namna ambavyo virgins wanasumbua kwahiyo nikawa naona kama ananiletea dharau tu. Nikiri tu kwamba kwa jinsi ambavyo nilikua nampenda kumuacha nilikua siwezi yani nisingeweza kuhimili kumuona na jamaa mwingine baada ya kuachana.

Lakini kutokana na pride, unazi na hasira za kipumbavu niliamua kwamba nitafanya kitu ili aniache yeye ( kumuacha si imeshindikana bwana! ). Haya tuendelee, basi usiku ule ule nikamtongoza rafiki yake nikaomba na mzigo kabisa na nikataja na style nitakazo mpiga sikuishia hapo nikamponda Kai ipasavyo, nia yangu haikua kumla rafiki wa dem wangu ila ni kuonyesha umwamba tu yani asinichukulie kinyonge.

Siku hazigandi, baada ya wiki chache shule zilifunguliwa na tukaingia form 3, wiki ya kwanza kabisa baada ya kuanza shule yule dem ( rafiki wa Kai ) sikuwahi hata kuongea nae infact nilisha sahau hata kama nilimtongoza. Wiki iliyofuata yule dem sijui nini kili msibu akaamua kuvujisha kila kitu na kama unavyojua wasichana, baada ya muda mchache yalisambaa darasa zima.

Nikiri tu kwamba nilipitia wakati mgumu sana kwenye maisha yangu ya shuleni ukilinganisha na umri mdogo niliokuwa nao na kamwili kadogo niliko nako na kasura flani kakitoto hali iliyo nifanya nionekane miaka 2 mdogo zaidi ya umri wangu. Walini dhalilisha mno, walizungumza mengi mabaya kusudi tu kunichafua, nilitengwa na karibia darasa lote lakini sikuwahi kumjibu yeyote yule, ilimradi nililopanga limetimia.

Ambacho sikuweza kuamini ni kumuona Kai pia akishirikiana na rafiki zake kunisagia kunguni .. just like that tuliachana na kila mtu akashika hamsini zake ila ambacho kilini shangaza kutoka kwake ni wivu uliopitiliza kwani hakutaka kabisa kuniona nina ukaribu na msichana mwingine yeyote na aliponiona nina ukaribu na msichana yeyote shuleni basi alituma rafiki zake kama sio yeye mwenyewe kutema sumu ili tu ule ukaribu ufe, hali iliyo waaminisha washkaji zangu kuwa Kai bado alikua akinipenda mno japokuwa tulikua tayari tumekwisha achana.

Siku zilikwenda na mwaka mmoja baadae tukiwa tunakaribia kumaliza mitihani ya form 4 ( tukiwa hatuzungumzi ) alikwenda kwa moja ya marafiki zangu wa karibu sana akitaka namba yangu ( ilinishangaza ).

Wakuu hii story nimefupisha sana maana ningeamua kuandika each and everything tungetafutana hapa hivyo kufupisha story zaidi ni kwamba imepita miaka 2 sasa tangu tumalize form 4 kwa sasa sote tupo kidato cha 6 shule tofauti, alinitafuta kupitia namba yangu ya simu na tunachat kama kawaida ila ni ile friendly tu, lakini nilichogundua kutoka kwake ni kwamba anahitaji sana kurudiana na mimi ila ndo hivyo namkwepa kwepa ila nina uhakika wa asilimia zote kwamba nikitupa nyavu ngoma lazima ijipe.

Wakuu, mimi bado mdogo sana na tena bado mwanafunz sio kwamba nasukuma ki-IST na yeye anatafuta unafuu wa maisha, hapana! hali inayonifanya niamini kuwa ni mapenzi ya kweli. Kinacho nifanya nisite kurudiana nae ni kumbu kumbu ya yale waliyo nifanyia na rafiki zake lakini hapo hapo pia najipa moyo kuwa ni utoto tu na bad influence ya rafiki zake.

Kitu kingine kinachonipa moyo ni kwamba amekuwa muwazi sana kwangu, aliweza kuniambia kwamba kwa kipindi ambacho tuliachana kuna jamaa alidate nae na ndio alimtoa bikra ( kama mwanaume, hii iliniuma ila ndo hivyo bwana! hajani cheat kwani si tulikua tumeachana !) Ila kwa sasa wameachana na yeye yupo single.

Nawezaje kujiaminisha kwamba anachosema ni cha kweli, well kuna machache yanayonipa tumaini, kwanza kabisa mtandaoni anaonekana kwa nadra sana na hata ninavyo andika hapa muda huu, last seen yake WhatsApp ni saa tatu asubuhi, meseji zangu anazijibu kwa wakati na mara nyingi nikiwa nachat nae hata saa mbili za usiku simu yangu ikiisha chaji nikamwambia good night basi na yeye atatoka online .. hii inani aminisha kwamba alikua akichat na mimi peke yangu.

Anaweza maliza hata siku mbili bila kuonekana mtandaoni ukimuuliza anakuambia hana bando ( japo nikiri kuwa hapa nilimchana live kwamba bando atanunuliwa na baba yake mzazi, sipendi kuingilia majukumu yasiyo nihusu, nisije mnunulia akaanza chat na vijamaa vyake vyingine nikajua yakazuka mengine )

Wakuu, sio kwamba siwezi kuachana na Kai nikaendelea na maisha yangu mengine na kum-judge kwa walionitendea na rafiki zake lakini je huko mbeleni mwanamke nitakaye kuja kumuoa atakua malaika kwamba hato kosea ? ..jibu ni hapana, ndio maana naona ni bora kuendelea na huyu huyu tuliojuana tangu utotoni na kupitia ups and downs kadhaa.

Lakini pia nikikumbuka kwa umakini napata kugundua kwamba mimi ndio chanzo cha yote .. kama isingekua kwa unazi wangu uliopitiliza yote yasinge tokea.

Najua kuna watu watakuja na nasaha zao tofauti wakinisihi niachane na hayo mambo, nikomae na shule ila ninachotaka kuwaambia ni kwamba, kuna maisha baada ya shule na ukizingatia Kai ni mwanamke ninaye tamani kufanya nae maisha kama mke wangu siku za mbeleni hivyo kaeni kwa kutulia.

Yapo mengi sana ningependa kuyaweka hapa ila nimechoka kutype.. hivyo wakuu nimeileta hapa mada hii najua JF ni kisima cha maarifa hivyo nakaribisha ushauri kwamba nirudishe majeshi au lah! .. na pia mtaniambia wapi ninapofeli kulingana na ambavyo utakavyokua umesoma Uzi.

Sounds childish eeh? Mapenzi ya shule ndivyo yalivyo hayajawahi kusound mature hata kidogo ila ushauri wako muhimu ..

NAWASILISHA
Bado uko na utoto.
 
@XII Tz Ok it's fine, nimekuelewa mdogo wangu, but my take for now, hakikisha unamrudia Kai na unampenda vilivyo.

Halafu if possible fanya mpango umfahamu huyo ex wa Kai hata kwa picha tu, then tafuta weakness za jamaa hasa zile zilizo sababisha yy na Kai kuachana, then wewe zifanyie kazi ziwe strength.

In a nutshell, Hakikisha una-mtreat Kai kwenye ngazi ambayo hata pata japo sekunde ya kumkumbuka huyo ex wake,(utawezaje; rejea paragraph ya pili hapo juu)

me nakutakia kila la kheri mdogo wangu, wewe pamoja na mrembo wako Kai.

#𝒍𝒐𝒗𝒆𝒊𝒔𝒃𝒆𝒂𝒖𝒕𝒊𝒇𝒖𝒍𝒍

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app Asante sana mkuu
 
We dogo ni wa kishua eeh??
Ok achana na hilo swali, unaonekana bado mdogo ila uandishi wako murua umenfanya nichangie.

Uyo manzi unataka kua nae ili kutenkenya mbususu tu au una malengo yako mengine kama ndoa??
Kama ni malengo ya ndoa basi acha nisikitike kidogo mdogo wangu, form six na bado hamjaingia chuo kupanga mawazo ya ndoa na hako kabinti ni kununua maumivu kwa gharama kubwa mno.

Rudiana nae ila si kuweka malengo na matamanio kibao juu yake, kwa hulka yako ya hasira zisizo na msingi akishafika chuo kesho keshokutwa utaachwa na hutakua na cha kumfanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom