Je, Nipoteze mda na yeye?

Je, Nipoteze mda na yeye?

socket

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2014
Posts
305
Reaction score
435
Habarini wandugu....

Ni juzijuzi tuu tumeanza mawasiliano na huyu dada 20-25 yrz mm nko 23-27 yrz na nilichukua no zake kwenye group fulani maana alinivutia sana kwa uzuri wake basi tukatambulisha maana wote hatukuwahi kuonana na siku zilivyoenda upendo ukaanza kila mtu akiangalia interest yake ikumbukwe hatujaonana zaidi ni picha tunatumiana na tuko mbali sana kimikoa.Basi mtoto kaonekana kapenda ila anataka akija kwangu ndo iwe moja kwa moja awe mke ila mimi hilo sitaki japo ni mzuri mpaka basi na shida nina mtu tayari na tumefika mbali maana familia zinajua siwezi kumuacha japo na yeye yuko mbali.

Ushauri nifanyeje maana nashindwa nawaza awe mpenzi wa pili maana kumuacha ni tatizo kwa uzuri wake
 
Mtumie pete ya ndoa kabisa, akifika kwako anaanza kupika na kupakua. Usimuache mwanamke mzuri akakupita. Huobsio uanaume
 
Hizi akili za usiku ni shida sana, mitandao inatufanya inatufanya tuwe wasaliti kwa wezentu, mtu hajaonana ila mnatumiana tu picha umejuaje kama kweli ndo yeye? Unamuacha mpenz wako kisa mpenz ea mbali...basi mwambie ukweli mpenzi wako kwamba nimepata demu mwingne zaid yako ili azoee maumivu.
 
Hivi ulilala masaa mangapi usingizi wako wa jana aisee sasa si tufanyeje na unamtu tayar yaaani unaona kuna ukuta alafu unataka kupita watu wengine bana haya upasue basi upite
 
we ulichukua namba yake ya nini kama sio usaliti?
 
Huyu jamaaa bas cha kufanya ni hivi....walete wote ndani au umpangishie chumba uwe unakula sehem zote mbili...si ndo unavyotaka.
 
Habarini wandugu...
Ni juzijuzi tuu tumeanza mawasiliano na huyu dada 20-25 yrz mm nko 23-27 yrz na nilichukua no zake kwenye group fulan maana alinivutia sana kwa uzuri wake..Basi tukatambulisha maana wote hatukuwahi kuonana na siku zilivyoenda upendo ukaanza kila mtu akiangalia interest yake..ikumbukwe hatujaonana zaidi ni picha tunatumiana na tuko mbali sana kimikoa..Basi mtoto kaonekana kapenda ila anataka akija kwangu ndo iwe moja kwa moja awe mke ila mm hilo sitaki japo ni mzuri mpaka basi na shida nina mtu tayari na tumefika mbali maana familia zinajua siwezi kumuacha japo na yy yuko mbali.

Ushauri nifanyeje maana nashindwa nawaza awe mpenzi wa pili maana kumuacha ni tatizo kwa uzuri wake

😂😂😂😂😂😂😂 sasa jambo kama hili mkuuu unashindwa kuamua lakini kumbuka kuna ukimwi na mimba....
 
Uzuri wa gari "mashine", je mashine yake ni nzuri? Akija ukakuka ana "jinsi" mbili itakuwaje?

Yaelekea umezoea kuokoteleza.
 
Back
Top Bottom