LaplaceTransformation
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 776
- 679
@happy amos chukuwa ushauri huu.Maadam hutukani, sema yote yaliyo moyoni. Waambie hukatai kusaidia ndugu, lakini maendeleo nyumbani ni muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
@happy amos chukuwa ushauri huu.Maadam hutukani, sema yote yaliyo moyoni. Waambie hukatai kusaidia ndugu, lakini maendeleo nyumbani ni muhimu.
Duu,siku hizi wanaume kazi tunayo. Hadi mtu anakuja kuanika mambo y ndoa kwa jina halisi,tena kwenye mitandao ya kijamii,mana yake wameshindwa muafaka,na kwa hiyo uvumilivu ni zero. AnywayNatumain mu wazima
Samahan kwa kuwachosha na hii mada yangu ya kila siku imekosa ufumbuzi ndio maana huwa nairudia sana humu.
Naomben ushauri kwa hili. Mara nyingi tumekuwa tukikwazana na mwenzangu(mume) sababu ya mambo mbalimbali. Tuna mwaka na zaidi sasa lakini binafsi nimefika kwa shida sana. Mwanzo tulikuwa tunaishi pamoja ila kwa sasa kahamishwa kikazi nami najipanga.
Binafsi moyo wangu hauna amani kabisa kwa sababu jamaa familia yake 100% inamtegemea yeye. Sio baba, sio mama sio wajomba sio shangazi sio kaka zake mpaka inafikia hata shida za wake wa ndugu zake kama wakiugua yeye ndio anagharamia.
Mimi sijakataa lakini maendeleo ya familia hakuna. Alidai nimpe muda amalizie maendeleo ya kwao lakini hayaishi sababu
akitaka kupiga hatu mjomba anashida anapewa, akitaka kupiga hatua shangazi anatoa tatizo anapewa.
Kinachoniuma nilishamwambia anapata karibia milioni 2 kwa mwezi hivyo mimi kwa mwez anipe laki 3 tu nami niongezee laki 1 za maendeleo ya ndani maana na sisi tuna maisha yetu. Anakubal lakini mwisho wa mwezi ukifika chenga nyingi.
Mwezi uliopita alitoka semina alipata karibia mil 3 nje ya mshahara lakini mimi nilipewa elfu 30 tu za matumizi. Waliitana na ndugu zake mjini walichonunua sijui ila naambiwa hela imeisha hata kununua sufuria hapana. Nikimwambia ananiambia nitulie kwanza akimaliza kwao ataanza maendeleo na kwetu.
Mimi nina biashara zangu, hapa ninapofanyia kuna changamoto za huduma ya M-PESA tukapanga na mume wangu nikaanza kufatilia leseni na TIN namba kwa gharama zangu. Nikapata nikafuatilia TIL ya M-PESA. Nimepewa namuomba anichangie hea ya kununua simu akacheka nikanunua mwenyewe.
Nikamuomba aniongezee mtaji laki 2 kakataa anadai ana ujenzi kwao nikamuomba basi anikopee nitakua narejesha 50 kwa mwezi kakataa. Ikabidi nikamkope mama nifanye kazi. Ajabu nikipata faida naambiwa ninunue vitu kidogo kidogo vya ndani.
Serious napenda kuolewa lakini huyu mwanaume hapana bora nikae mwenyewe ijulikane moja.
Nikamwambia tuachane kabembeleza ndio anakuja baba yake mdogo kutukalisha. Sasa nieleze ukweli wote au nitaeleweka vibaya? Maana mimi nimechoka na nimewaambia nyumbani warudishe tu mahari yake
maana mwenzangu hanithamini kama mke!
Pole Dada yangu,kwa IMANI yangu ya KIKRISTU,MAANDIKO yanasema "mwanume atamwacha baba yake na mama yake,naye ataambatana na MKEWE,nao watakuwa mwili mmoja" kina namna mmeo anahitaji ushaur,ni lazima kipato cha baba kihudumie familia yake kwanza (mke na watoto) ndipo asaidie ndugu..lazima baba kama kichwa cha familia ajue majukumu yake.Natumain mu wazima
Samahan kwa kuwachosha na hii mada yangu ya kila siku imekosa ufumbuzi ndio maana huwa nairudia sana humu.
Naomben ushauri kwa hili. Mara nyingi tumekuwa tukikwazana na mwenzangu(mume) sababu ya mambo mbalimbali. Tuna mwaka na zaidi sasa lakini binafsi nimefika kwa shida sana. Mwanzo tulikuwa tunaishi pamoja ila kwa sasa kahamishwa kikazi nami najipanga.
Binafsi moyo wangu hauna amani kabisa kwa sababu jamaa familia yake 100% inamtegemea yeye. Sio baba, sio mama sio wajomba sio shangazi sio kaka zake mpaka inafikia hata shida za wake wa ndugu zake kama wakiugua yeye ndio anagharamia.
Mimi sijakataa lakini maendeleo ya familia hakuna. Alidai nimpe muda amalizie maendeleo ya kwao lakini hayaishi sababu
akitaka kupiga hatu mjomba anashida anapewa, akitaka kupiga hatua shangazi anatoa tatizo anapewa.
Kinachoniuma nilishamwambia anapata karibia milioni 2 kwa mwezi hivyo mimi kwa mwez anipe laki 3 tu nami niongezee laki 1 za maendeleo ya ndani maana na sisi tuna maisha yetu. Anakubal lakini mwisho wa mwezi ukifika chenga nyingi.
Mwezi uliopita alitoka semina alipata karibia mil 3 nje ya mshahara lakini mimi nilipewa elfu 30 tu za matumizi. Waliitana na ndugu zake mjini walichonunua sijui ila naambiwa hela imeisha hata kununua sufuria hapana. Nikimwambia ananiambia nitulie kwanza akimaliza kwao ataanza maendeleo na kwetu.
Mimi nina biashara zangu, hapa ninapofanyia kuna changamoto za huduma ya M-PESA tukapanga na mume wangu nikaanza kufatilia leseni na TIN namba kwa gharama zangu. Nikapata nikafuatilia TIL ya M-PESA. Nimepewa namuomba anichangie hea ya kununua simu akacheka nikanunua mwenyewe.
Nikamuomba aniongezee mtaji laki 2 kakataa anadai ana ujenzi kwao nikamuomba basi anikopee nitakua narejesha 50 kwa mwezi kakataa. Ikabidi nikamkope mama nifanye kazi. Ajabu nikipata faida naambiwa ninunue vitu kidogo kidogo vya ndani.
Serious napenda kuolewa lakini huyu mwanaume hapana bora nikae mwenyewe ijulikane moja.
Nikamwambia tuachane kabembeleza ndio anakuja baba yake mdogo kutukalisha. Sasa nieleze ukweli wote au nitaeleweka vibaya? Maana mimi nimechoka na nimewaambia nyumbani warudishe tu mahari yake
maana mwenzangu hanithamini kama mke!
Hujaelewa wew naona unaongea tu ht usichoelewaNdo usenge wa kuoaga mijianamke isiyo na kazi,kuna jingine humu ndani linataka litawale mapato yangu,mshahara wangu uwe wake,eti nasaidia sana home...sa nisiposaidia home nisaidie wapi,bila hao watu nisingekua hapa leo afu ukute hamna hata watoto,mfanye maendeleo pamoja ili uje uanze visanga upewe 50/50
Sent using Jamii Forums mobile app
Malizia mkuu!Huu mtihani ulishawahi kunitokea kwenye familia yangu ,
Na hii ilikuwa kipindi cha mwanzo cha ndoa yangu na nilijua kosa langu kubwa lilikuwa wife kujua naingiza kiasi gano katika kazi yangu. Maana nilikuwa nikipata hela namwambia leo mteja fulani amenilipa kiasi hiki basi ilikuwa hata nikisaidia ndugu elfu 30 naambiwa nachelewesha maendeleo yetu.
Nikajaribu kuwaza na kuwazua hivi nifanyaje ili huyu mtu (mke wangu) ajue nawathamini wote yaani upande wa familia yao na yetu ila nikakosa jibu la busara kwa kipindi kile.
Kuna shemeji yangu ambaye ni kaka wa mke wangu wamezaliwa baba mmoja na mama mmoja akanishauri kuwa kosa langu ni kumshirikisha kujua kipato changu hivyo akanishauri tangu siku hiyo na kuendelea nisimshirikishe kwenye income .
Maana nilikuwa sielewe mke wangu kitu maendeleo yeye aliyakuwa anayaangalia kwa maana ipi kwa sababu mahitaji ya muhimu yote yanapatikana kwa wakati na yeye mahitaji yake nampatia kila anapohitaji.
So jambo lako limekuja kwa sura moja tu tungesikia upande wa mwenzio na yeye huenda kuna yaliyojificha kwenye haya malalamiko yako.
Sasa hivi mambo yamekuwa shwari kabisa hakuna migogoro ya namna hii katika familia yangu. Ninapotoa msaada kwenye familia yetu wala hajui ila nikitoa kwao anajua na wala halalamiki kama tunachelewesha maendeleo yetu.
Mkuu pole ila tumia maneno mazuri kidogo. Ukisema mijianamke unakosea . Sema mwanamke aliyepungukiwa ufahamu.Ndo usenge wa kuoaga mijianamke isiyo na kazi,kuna jingine humu ndani linataka litawale mapato yangu,mshahara wangu uwe wake,eti nasaidia sana home...sa nisiposaidia home nisaidie wapi,bila hao watu nisingekua hapa leo afu ukute hamna hata watoto,mfanye maendeleo pamoja ili uje uanze visanga upewe 50/50
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa wewe jamaa noma sana aiseeNdo usenge wa kuoaga mijianamke isiyo na kazi,kuna jingine humu ndani linataka litawale mapato yangu,mshahara wangu uwe wake,eti nasaidia sana home...sa nisiposaidia home nisaidie wapi,bila hao watu nisingekua hapa leo afu ukute hamna hata watoto,mfanye maendeleo pamoja ili uje uanze visanga upewe 50/50
Sent using Jamii Forums mobile app
Umepanik.. unabore[emoji18]Ndo usenge wa kuoaga mijianamke isiyo na kazi,kuna jingine humu ndani linataka litawale mapato yangu,mshahara wangu uwe wake,eti nasaidia sana home...sa nisiposaidia home nisaidie wapi,bila hao watu nisingekua hapa leo afu ukute hamna hata watoto,mfanye maendeleo pamoja ili uje uanze visanga upewe 50/50
Sent using Jamii Forums mobile app