witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,830
- 47,772
Ita kikao kizima cha familia pande mbili uongee ukweli wako achana na babaake mdogo!....lazima atabadilika!Sasa nifanyeje?
Sent using Jamii Forums mobile app

Natumain mu wazima
Samahan kwa kuwachosha na hii mada yangu ya kila siku imekosa ufumbuzi ndio maana huwa nairudia sana humu.
Naomben ushauri kwa hili. Mara nyingi tumekuwa tukikwazana na mwenzangu(mume) sababu ya mambo mbalimbali. Tuna mwaka na zaidi sasa lakini binafsi nimefika kwa shida sana. Mwanzo tulikuwa tunaishi pamoja ila kwa sasa kahamishwa kikazi nami najipanga.
Binafsi moyo wangu hauna amani kabisa kwa sababu jamaa familia yake 100% inamtegemea yeye. Sio baba, sio mama sio wajomba sio shangazi sio kaka zake mpaka inafikia hata shida za wake wa ndugu zake kama wakiugua yeye ndio anagharamia.
Mimi sijakataa lakini maendeleo ya familia hakuna. Alidai nimpe muda amalizie maendeleo ya kwao lakini hayaishi sababu
akitaka kupiga hatu mjomba anashida anapewa, akitaka kupiga hatua shangazi anatoa tatizo anapewa.
Kinachoniuma nilishamwambia anapata karibia milioni 2 kwa mwezi hivyo mimi kwa mwez anipe laki 3 tu nami niongezee laki 1 za maendeleo ya ndani maana na sisi tuna maisha yetu. Anakubal lakini mwisho wa mwezi ukifika chenga nyingi.
Mwezi uliopita alitoka semina alipata karibia mil 3 nje ya mshahara lakini mimi nilipewa elfu 30 tu za matumizi. Waliitana na ndugu zake mjini walichonunua sijui ila naambiwa hela imeisha hata kununua sufuria hapana. Nikimwambia ananiambia nitulie kwanza akimaliza kwao ataanza maendeleo na kwetu.
Mimi nina biashara zangu, hapa ninapofanyia kuna changamoto za huduma ya M-PESA tukapanga na mume wangu nikaanza kufatilia leseni na TIN namba kwa gharama zangu. Nikapata nikafuatilia TIL ya M-PESA. Nimepewa namuomba anichangie hea ya kununua simu akacheka nikanunua mwenyewe.
Nikamuomba aniongezee mtaji laki 2 kakataa anadai ana ujenzi kwao nikamuomba basi anikopee nitakua narejesha 50 kwa mwezi kakataa. Ikabidi nikamkope mama nifanye kazi. Ajabu nikipata faida naambiwa ninunue vitu kidogo kidogo vya ndani.
Serious napenda kuolewa lakini huyu mwanaume hapana bora nikae mwenyewe ijulikane moja.
Nikamwambia tuachane kabembeleza ndio anakuja baba yake mdogo kutukalisha. Sasa nieleze ukweli wote au nitaeleweka vibaya? Maana mimi nimechoka na nimewaambia nyumbani warudishe tu mahari yake
maana mwenzangu hanithamini kama mke!
Kama unayoyaeleza ni kweli si baba sahihi wa familiaNatumain mu wazima

Duh jamaa kaoa na familia nzima hapo Dada maendeleo zero jipange hao ndugu wanampenda anacho akikosa watamchekaNatumain mu wazima

Sent from my iphoneKama unataka ndoa kuwa mnafiki, usiwambie maana huyo jamaa na ndugu zake ni kitu kimoja isitoshe hayo mawazo yako keshawaambia wanataka kuthibitisha tu kama ni kweli wanachoambiwaga na ndugu yao!
Sent from my iPhone using JamiiForums
Well said.... I had the same idea...tumesikia ya upande mmojaHaya ni maneno ya upande mmoja,na hapa utaonekana wewe ni mnyonge,lakini hebu weka Namba za Simu za mmeo ili naye nimsikie anasemaje ndo niweze kutoa ushauri wangu usioweza egemea upande wowote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo hata hayasemeki.unasepa tu kimya kimyaDada hapo hamna mume. Na ndugu wa mume walivyo ukiwaambia ukweli watakuchukia
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahaaa bwana mwenyewe nusu kiloWatu huoa kwa malengo mengi na wewe umechukuliwa kama mtumwa. Kufurahi wewe hadi bwana aamue!
Sent from my iphone
Hatujafunga ndoa,,,nyumban wanafaham na mahar ameshatoa ilikua tufunge mwaka huu ndoa kasema amalizie mambo ya ujenzi kwao kwanza...hatuna mtoto
You're smartDada huwezi kumzuia kusaidia wa kwao maana yawezekana hawana msaada popote isipokua kwake na huwezi kujua pia wamechangia vipi yeye kuwa hapo alipo. Cha muhimu ni kukaa pamoja na kuangalia ni namna ipi nzuri ya kufanya vyote I.e kusaidia nyumbani plus maendeleo Yenu. Badilisha approach tu ya namna unavyozungumzia hayo maswala utaona mabadiliko. Kutoa ni Baraka pia
Wakiitwa wenye wachumba mjini huyu Dada nae ataenda?Dada jiandae kisaikolojia, kuna mawili hapo nayaona. Kuna siku atakwambia uondoke, wewe sio mke wa kufanya nae maisha au utaondoka mwenyewe yakikufika kidevuni.
Ukifukuzwa akaoa mwingine haina tabu hapo, ila Ukiondoka mwenyewe ukajianzishie maisha yako kuna mambo mawili hapo. Utasakamwa sana na nduguze na nduguzo, pili utapata misukosuko mingi mpaka ukakae sawa.
Kesi ya namna hii nilikutana nayo hivi karibuni, huyu mdada ananiambia mumewe anasikiliza zaidi nduguze kuliko mkewe, nduguze hawapendi kumuona anafurahi na mumewe nk
Dada jiandae tu kiakili, sio kila mahusiano yatapelekea ndoa!