Je, niongee ukweli kwenye kikao?

Je, niongee ukweli kwenye kikao?

Huu mtihani ulishawahi kunitokea kwenye familia yangu ,

Na hii ilikuwa kipindi cha mwanzo cha ndoa yangu na nilijua kosa langu kubwa lilikuwa wife kujua naingiza kiasi gano katika kazi yangu. Maana nilikuwa nikipata hela namwambia leo mteja fulani amenilipa kiasi hiki basi ilikuwa hata nikisaidia ndugu elfu 30 naambiwa nachelewesha maendeleo yetu.

Nikajaribu kuwaza na kuwazua hivi nifanyaje ili huyu mtu (mke wangu) ajue nawathamini wote yaani upande wa familia yao na yetu ila nikakosa jibu la busara kwa kipindi kile.

Kuna shemeji yangu ambaye ni kaka wa mke wangu wamezaliwa baba mmoja na mama mmoja akanishauri kuwa kosa langu ni kumshirikisha kujua kipato changu hivyo akanishauri tangu siku hiyo na kuendelea nisimshirikishe kwenye income .
Maana nilikuwa sielewe mke wangu kitu maendeleo yeye aliyakuwa anayaangalia kwa maana ipi kwa sababu mahitaji ya muhimu yote yanapatikana kwa wakati na yeye mahitaji yake nampatia kila anapohitaji.

So jambo lako limekuja kwa sura moja tu tungesikia upande wa mwenzio na yeye huenda kuna yaliyojificha kwenye haya malalamiko yako.
 
Mmefunga ndoa?

Kama hujafunga nae ndoa na hamjazaa achana nae.

Wapo watakaokushauri kuwa uvumilie sijui ndiyo maisha!!

Miaka hairudi nyuma ndugu yangu, hayo majukumu ya ukoo wake yataisha lini?

Bora angesaidia wazazi wake ila sio ukoo wote.

Kama huwezi kuachana nae, fanya maendeleo kivyako.

Tafuta kiwanja jenga, fanya biashara zako bila kumshirikisha yeye.

Na kila unachokifanya kiwe chini ya jina lako ili likitokea lolote hupotezi kitu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa mnapenda wanaume wakisaidia ndugu zenu (wa mwanamke) akiwasaidia ndugu zake kidogo mnavuta midomo, na wewe unamshauri waachane hafu utamtafuatia mwanaume wa kumuowa? Bora ungemshauri ampe limbwata ili awe anamkabidhi mshahara wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naamini wewe ndio wajua unataka nini katika maisha yako/yenu ya ndoa. Kama waona matarajio yako hayatafikiwa na huwezi "ku compromise" basi jibu lipo wazi.
 
Mkuu pole sana,ila nakushauri bora useme ukweli ili mwenza wako aweze kuona ni kiasi gani anakuumiza.

Anza,wanaume sometimes tunaoitia changamoto sana,ndo sisi wengine tunaitwa tunadharau sana,tunabadilisha namba au kutokupokea simu,maana ukipigiwa simu ujue ni shida tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini hutaki mmeo asaidie upande wa familia yake..!?vipi upande wa familia yako ukipatwa na matatizo,hua unawapotezea tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mume kusaidia kwao na kutojali mke na familia huyo sio mume.Basi asingeoa ili a focus kwao tu. Na bahat mbaya huwezi maliza shida za ndugu kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada pole sana kwa mtihani unaopitia!!! Naomba kwanza kujua
je mmefunga ndoa?
Je kwenu ameshatambulika?
Mna watoto?
Ila nachoona hapo mwanaume hakujali zaidi anajali mambo yake tu na ndugu zake!!! Kikubwa KWENYE KIKAO FUNGUKA YOTE ILI HATA HUYO BABA MTU AJUE NINI UNAPITIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatujafunga ndoa,,,nyumban wanafaham na mahar ameshatoa ilikua tufunge mwaka huu ndoa kasema amalizie mambo ya ujenzi kwao kwanza...hatuna mtoto
 
Mkuu mume kusaidia kwao na kutojali mke na familia huyo sio mume.Basi asingeoa ili a focus kwao tu. Na bahat mbaya huwezi maliza shida za ndugu kamwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Bado nilu
Huwa mnapenda wanaume wakisaidia ndugu zenu (wa mwanamke) akiwasaidia ndugu zake kidogo mnavuta midomo, na wewe unamshauri waachane hafu utamtafuatia mwanaume wa kumuowa? Bora ungemshauri ampe limbwata ili awe anamkabidhi mshahara wote

Sent using Jamii Forums mobile app
Nadhan hata yeye Angelita hapa angesema sijawai kumkataza kusaidia kwao wala sijawah kumtolea shida ya nyumban kwetu God is my witness....... Kilio changu nimaendendeleo ya ndani basi....hata kama ingekua ww kati ya milioni 2 toa laki 3 za maendeleo ya familia iwe kesi???
 
Back
Top Bottom