Mkogoti TAPELI Mkubwa Joined May 3, 2020 Posts 2,415 Reaction score 3,927 Jun 12, 2020 #1 Corona Wakati inaanza Ilikuwa ukivaa Mask bus zima Linakushangaa😲 Ikaja kipindi Wote kwenye bus wanavaa, na usipovaa Watu wanakushangaa,😲 Sasa hivi bus zima hawavai, ukivaa wanakushangaa,😲 Inanitatiza shida nini🤔🤦
Corona Wakati inaanza Ilikuwa ukivaa Mask bus zima Linakushangaa😲 Ikaja kipindi Wote kwenye bus wanavaa, na usipovaa Watu wanakushangaa,😲 Sasa hivi bus zima hawavai, ukivaa wanakushangaa,😲 Inanitatiza shida nini🤔🤦
EINSTEIN112 JF-Expert Member Joined Oct 26, 2018 Posts 21,708 Reaction score 35,719 Jun 12, 2020 #2 Na hivi ulivoiandika tunakushangaa😳😳😳😳😳
Superfly JF-Expert Member Joined Jul 14, 2013 Posts 1,015 Reaction score 2,154 Jun 12, 2020 #3 Shida ni kwamba kila kitu Tanzania tunafanya kwa msimu, uendelezaji na ufuatiliaji wa mambo hakuna kabisa!
Shida ni kwamba kila kitu Tanzania tunafanya kwa msimu, uendelezaji na ufuatiliaji wa mambo hakuna kabisa!
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 35,639 Reaction score 104,670 Jun 12, 2020 #4 Me naendelea kuvaa waache wanishangae.
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 20,360 Reaction score 13,465 Jun 12, 2020 #5 Rais alisema corona imeisha