Je, nini kitatokea sekunde 1 baada ya mwisho wa dunia?

Je, nini kitatokea sekunde 1 baada ya mwisho wa dunia?

lets say mwisho kabisa wa dunia utatokea at time 't',je, at 't' + 1s, kutakua na tukio gani? Au muda nao utafika mwisho na kusimama? Na kama muda hausimami, basi hata matukio yataendelea kuwepo, na je hii inamaanisha hakuna mwisho?


Hakuna kitu kama mwisho wa Dunia bali kuna mwisho wa maisha yako, yangu na ya viumbe vingine vyote!
 
Kwanza kwa Dunia unamaanisha nini? Sayari au Dunia ya kwenye Biblia na Misaafu?
Sayari hii ya dunia hulizunguka jua, kwakuwa jua ni nyota basi itafika mwisho kama nyota zingine ambazo huishiwa fuel na hatimaye kufa na kulipuka, jua litakapolipuka dunia haiwezi kubaki salama! Ila ninaposema mwisho wa dunia actually namaanisha mwisho wa ulimwengu (universe) na mwisho wa kila kitu..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom