Je ningeumbwa samaki?

Je ningeumbwa samaki?

The Icebreaker

Platinum Member
Joined
Apr 24, 2014
Posts
39,793
Reaction score
123,826
Jamaa mmoja alikutwa na rafiki yake akiishangalia sana Bahari huku akiwa na mawazo mengi sana kichwani mwake,alipoulizwa kulikoni unaitazama bahari huku ukiwa unaonekana una mawazo sana?
Akajibu "Nafikiria je Mwenyezi Mungu angeniumba SAMAKI na mimi sijui kuogelea sijui hata ingekuwaje..!!
 
Back
Top Bottom