Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

Wana jukwaa nawasalimu,

Kuna jambo nakabiliana nalo naombeni ushauri wenu nina mchumba wangu ila tumejaliwa mtoto mmoja hatujafunga ndoa bado.

Mwenzangu alipata nafasi ya kweda China masomoni kwa muda mfupi alivyorudi akaniletea simu IPhone, sasa tatizo lililonileta hapa toka aniletee hii simu imekua kama jini.

Mambo yangu yote ananifunulia hata nikitongoza tu msichana kesho yake hata niambia directly ila ntafikishiwa vijembe mpaka najishtukia michepuko yote na majina anaijua na yeye yuko mkoa tofauti, najihoji au ni hii zawadi au maana nasikiaga aina hii ya simu sio rahisi kufanyiwa mambo ya udukuzi.

Mwenye ujuzi zaidi anijuze

Kama unaakili utagundua wewe ndio tatizo, acha umalaya
 
Unasema mkeo alikuwa anasoma China???

Hahaha....nina uhakika asilimia 89.99 kuwa mkeo alikuwa na mchepuko huko, wadada/wamama wanasoma China ni nadra mno kukosa mwanaume wa kumliwaza...
mkuu ,uko serious?
 
Nimekueleza black and white, kama huniamini basi tafuta mtu yoyote aliyewahi kuishi au kusoma huko umuulize...

Bwana mdogo tumeshuhudia wake za watu wakiwekwa ndani kinyumba huko, tena asilimia kubwa na njemba za West Africa...
Ni kweli mkuu
 
Wana jukwaa nawasalimu,

Kuna jambo nakabiliana nalo naombeni ushauri wenu nina mchumba wangu ila tumejaliwa mtoto mmoja hatujafunga ndoa bado.

Mwenzangu alipata nafasi ya kweda China masomoni kwa muda mfupi alivyorudi akaniletea simu IPhone, sasa tatizo lililonileta hapa toka aniletee hii simu imekua kama jini.

Mambo yangu yote ananifunulia hata nikitongoza tu msichana kesho yake hata niambia directly ila ntafikishiwa vijembe mpaka najishtukia michepuko yote na majina anaijua na yeye yuko mkoa tofauti, najihoji au ni hii zawadi au maana nasikiaga aina hii ya simu sio rahisi kufanyiwa mambo ya udukuzi.

Mwenye ujuzi zaidi anijuze
Hahaha atakuwa kaiwekea app ya kukuspy na kama anajua password yako ya icloud anaweza jua uko wap muda wowote anaotaka.
Fanya kuire store uanze upya ndugu.
Sema michepuko siyo deal baki njia kuu
 
Narasa wacha kuchafua lugha za watu na kupotosha wenzako. Mwanamme anapekuliwa? Hicho kichwa cha habari ndicho kilinileta kusoma ushuhuda wako maana nilitaka nikupe ushauri nasaha wa kuacha ushoga, kumbe mambo yenyewe ni simu tu ya mchepuko? By the way, wewe ni mwanamme wa Dar au?
 
Mi kuna mngese mmoja alinifanyia hivyo, nikitongozwa au kurefresh na marafiki some where unamkuta ye katangulia eneo la tukio! ..

Nilivyogundua stimu zilikata hapo hapo, na mapenzi mi na yy yakafilia mbali!

Yaan ni moja ya tabia chafu sana mpenzi wako akiwa hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app

hahahahaa alafu bas na wenyewe wawe wasafi bas hakuna kitu mie sipend kweli utoto wa naman hyo aic!
 
Hii ndio changamoto ya mahusiano ya leo.

Mimi binafsi siungi mkono privacy ktk ndoa yangu. Pamoja na historia yangu chafu ya uhuni kipindi cha nyuma Mungu alinisaidia mke mwema nimeamua nitulie. Nilishaclear dead wood niko free.

Princinple hiyo yako ni tamu sana na hasa mwenzi wako akiilewa na kuiadopt. Yaani mnakuwa kwenye ulimwengu mwingine kabisa.
 
Back
Top Bottom