Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

Je, ninadukuliwa na huyu mwanamke?

Unasema mkeo alikuwa anasoma China???

Hahaha....nina uhakika asilimia 89.99 kuwa mkeo alikuwa na mchepuko huko, wadada/wamama wanasoma China ni nadra mno kukosa mwanaume wa kumliwaza...
 
Umesema ni iPhone?
Fanya hivi
Badili email adress yako nina maana fungua account mpya hata ya Hotmail ama gmail, kisha tengeneza Apple id mpya kutumia email mpya, kisha restore iPhone, erase everything......ikiwaka tengeneza icloud yako kupitia Apple id mpya.....usije format simu wakati hujui au umesahau ID iliyopo sasa na password yake.....maana hutoitumia tena hiyo simu......Activation ni lazima uwe na previous Apple ID.
 
Unasema mkeo alikuwa anasoma China???

Hahaha....nina uhakika asilimia 89.99 kuwa mkeo alikuwa na mchepuko huko, wadada/wamama wanasoma China ni nadra mno kukosa mwanaume wa kumliwaza...

Acha hizo mkuu!!
 
Kuna mtu alichukua simu yangu akanifanyia huo upuuzi aiseee nilimbadilikia hakuamini......that's childish
Mi kuna mngese mmoja alinifanyia hivyo, nikitongozwa au kurefresh na marafiki some where unamkuta ye katangulia eneo la tukio! ..

Nilivyogundua stimu zilikata hapo hapo, na mapenzi mi na yy yakafilia mbali!

Yaan ni moja ya tabia chafu sana mpenzi wako akiwa hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mna mtoto mmoja alaf unamuita mchumba duuh
shkamoo kaka

sent from aifoni seveni plasi
 
uko mkoa gani ili tubadilishane na hii yangu tecno wereva udukuzi uishe.....mie hata akinidukua itakuwa kazi bure tu.
Kama simu kanunuliwa na mkewe kwa malengo maalum, atabadilishanaje nawe na abaki salama?
 
Umesema ni iPhone?
Fanya hivi
Badili email adress yako nina maana fungua account mpya hata ya Hotmail ama gmail, kisha tengeneza Apple id mpya kutumia email mpya, kisha restore iPhone, erase everything......ikiwaka tengeneza icloud yako kupitia Apple id mpya.....usije format simu wakati hujui au umesahau ID iliyopo sasa na password yake.....maana hutoitumia tena hiyo simu......Activation ni lazima uwe na previous Apple ID.[/QUOTE

Uko deep

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi kuna mngese mmoja alinifanyia hivyo, nikitongozwa au kurefresh na marafiki some where unamkuta ye katangulia eneo la tukio! ..

Nilivyogundua stimu zilikata hapo hapo, na mapenzi mi na yy yakafilia mbali!

Yaan ni moja ya tabia chafu sana mpenzi wako akiwa hivyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona wewe ulimvumilia huyo mimi nilimganda hapo hapo nikamwambia upuuzi wako sitaki naomba tuache kufuatiliana.....mbona alitoa na nilimuacha siku hiyo hiyo
 
Back
Top Bottom