wakali ndondo
JF-Expert Member
- Jun 12, 2017
- 583
- 908
Tatizo lako ni kukosa uzoefu wa maisha ya ndoa!Ungeweza kuvumilia lakini kama anadharau wazazi piga chini
Watoto watakua with ama without mama yao
Harikaaaa!!Ushauri mbaya
Kaanga chumvi ya mawe kwenye jiko la mkaa, chombo kiwe kigae cha chungu kilivyovunjika, changanya na picha yake ya passport size,jina kwenye karatasi, changanya na pilipili manga huku ukinuizia utakayo(yasiwe mema) chumvi ikipaparika mpaka ikatulia chukua kipande cha kaniki funga hiyo mixer na uzi mwekundu kisha katupe njia panda ama chooni
DuuuuhUshauri mbaya

Lakini pia Mungu ni WA ajabu Wanaume wengi wanauchungu na watoto kuliko waliowaweka tumboni mwao miezi Tisa hasa Karne hii. Sijui Kwa Nini. Wanawake wengi Kwa Sasa wanawapenda watoto waliopendezeshwa na baba zao au wanaume tuu. Kama baba Hana habari na mtoto mama pia anamwona kama Kero ndio.Jukumu kubwa kwa Sasa ulilonalo ni Kuwalinda hao watoto wako
Hakikisha unawapenda Sana watoto wako.
Hakikisha unamu ignore kabisa huyo mwanamke na asiwe kabisa kwenye ratiba za maisha yako.
Fanya mpango uwe na mwanamke wa pembeni ambaye ndiye atakuwa mwandani wako.
Hakikisha huongezi tena mtoto mwingine na huyo mama.
Hakikisha huteteleki kwenye kipato.
Hakikisha unafanya Maendeleo yako kimya kimya bila kumuhusisha kabisa.
Huyo tayari ameshakuwa adui yako. Tatizo kubwa tulio nalo sisi wanaume tunachukulia poa Sana mwanamke akishabadilika kwa namna hiyo.
Usichukulie poa kabisa.
Hii ya chooni kila m2 atamuona ana nuka kama mavi,hatari hii ni zaidi ya TKO.Ushauri mbaya
Kaanga chumvi ya mawe kwenye jiko la mkaa, chombo kiwe kigae cha chungu kilivyovunjika, changanya na picha yake ya passport size,jina kwenye karatasi, changanya na pilipili manga huku ukinuizia utakayo(yasiwe mema) chumvi ikipaparika mpaka ikatulia chukua kipande cha kaniki funga hiyo mixer na uzi mwekundu kisha katupe njia panda ama chooni
… I told her mama I'm getting married, I could hear her voice
On the other side of the telephone, she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said, "Son did you take time to know her?"…
---
Did you take time to know her [emoji848][emoji2827]
Wakuu mbona mnairuka point ya wife kumtoroka jamaa akapambana kumrudisha tena,mwanamke kakuacha kwann ukomae kumrudisha
Principle ni ile ile mapenzi ya mwanamke yakiisha kwako huwa hawawez kujificha so ulishaachwa kitambo kaka kaa nae mmalizane kila mtu afanye maisha yake we komaa na wanao tu
When poverty enters through the door love escapes through the windowNina mke wa ndoa ambae nina watoto nae watatu, umri wangu sasa ni miaka 32 na umri wa mke wangu ni miaka 28. Zamani nilikua na uwezo mkubwa na alinipenda sana, ila tokea pesa zimepungua ndiyo nimeona mapungufu yake, kuna kipindi alitoroka akaniachia watoto, nikapambana kumrudisha maisha yakaendelea ila sasa hivi naona tena dharau na maneno yameanza tena.
Anawadharau wazazi wangu, yeye anasikiliza sana maneno kutoka kwa mama yake, mimi hata niseme nini sisikilizwi, ila mama yake chochote anachomwambia ndiyo anakifuata.
je nini nifanyeje, nimuache aendelee na maisha yake, au nifanyeje ili akae sawa? Na je, vipi kuhusu watoto wetu watatu, mkubwa miaka 5 (Ke), wa kati ana miaka 3 (Me) na wa mwisho ana mwaka mmoja (Me)?
Kama aliweza kuacha watoto wake aliowazaaWanawake ni pasua kichwa.. kilichonifanya nimrudishe ni kwa sababu ya watoto lakini pia niliona hata nikiwa na mwingine huenda na yeye huko mbeleni akabadilika ndio nikaona bora kumrudisha nilomzoea kumbe ndio ilikua nachochoea moto.. ila asanteni sana kwa maoni na ushauri..
100%Mwanamke anayeweza kutoroka watoto wala nisingemtafuta.
HahaahaHarikaaaa!!
Matokeo yake Nini mkuu. Atarudi na kujirekebisha au Nini kitatokea!
Sio lazima uoe...Nilimrudisha kwa sababu ya watoto.. alafu niliona wanawake wote wanafanana tu hata akija mwingine..
Hatima yake ni ipi, kwa kuweka hii post nahisi umeshwafanya watu wengine wawe wachawi aisée , huu ushuri sio mzuri watu watatiana uchizi na kutupiana mikosi aiséeUshauri mbaya
Kaanga chumvi ya mawe kwenye jiko la mkaa, chombo kiwe kigae cha chungu kilivyovunjika, changanya na picha yake ya passport size,jina kwenye karatasi, changanya na pilipili manga huku ukinuizia utakayo(yasiwe mema) chumvi ikipaparika mpaka ikatulia chukua kipande cha kaniki funga hiyo mixer na uzi mwekundu kisha katupe njia panda ama chooni
Kama mtu si mkosaji haiwezi kumuathiriHatima yake ni ipi, kwa kuweka hii post nahisi umeshwafanya watu wengine wawe wachawi aisée , huu ushuri sio mzuri watu watatiana uchizi na kutupiana mikosi aisée