Je, nimuache au nimvumilie?

Umetoa ushauri bora na wa kiwango .
 
Unafanya kazi bar gani? Nikutafute mrembo
 
Bila shaka atakuwa amelelewa na single mother. Narudia tena kutoa ushauri usijichanganye kuoa mwanamke aliyelelewa na single mother. Kwa.maneno mengine usioe mwanamke ambae mama yake ni single mother. Ukibisha shauri yako

Hakika hujakosea.. mama ake ni single mother
 
Mke aliyekuzwa na malezi ya upande wa mama pekee, akipata mimba na kwenye kujifungua mama yake ndiye akawa anamhudumia kwenye uzazi, jua hapo una kazi ya ziada. Japo si wote
 

Ushauri mzuri.. asante
 
Kaka uyo sio wako atakuja kukuletea matatizo ww pamoja na familia yako watakuona unamatatizo wakati toto lao akili velocity inasola zero , kwa upande wangu napitia hiyo situation ila process za kupelekwa kwao zimekamilika .Baba atakama atuna pesa tunaitaji heshima apo awezi kung'ang'ania watoto coz anaona ni wengi ila angekuwa mmoja angeleta shida .
MKE SAHIHI HUTUMII NGUVU KUMUELEWESHA .
Umuhimu wa ndoa upo uzeeni ila si ujanani
 
Mkuu hapo fanya kama hauna mke ishi kama mjinga tu mwache afanye anachotaka shughulika na watoto wako tu. Lala kitanda kimoja akikupa asipokupa poa ila jitafutie kamchepuko ka uhakika maisha yataenda usitake kushindsna na mwanamke ATAKUPA msongo wa mawazo Bure hata akitaka kuondoka mwache aondoke tu ila usimpe nauli. LIPA UBAYA KWA WEMA utakuja KUNISHUKURU baadaye.
 
Mkuu usimfukuze hata ww fanya kitu kimoja wanawake wa namna hyo hua hawapigwi Wala hawatukanwi kwanza mama ake anaweza asiwe anamfundisha ujinga Ila yeye mwenyewe alikupenda kwa sabb ya pesa tu.......Ishi nae kama hayupo hapo ndani, fanya mambo yako kwa siri asijue chchte yani hata ajichekeleshe mbele yako ww mkazie unatakiwa kua na roho ya kiume na ngumu
Na ikiwezekana tafuta mchepuko pisi kali kinoma kusudi huyo mke wako akimuona ajione ye takataka kwa sabb tayali amekuchukulia ww mpuuzi wakati unamlisha na kumvisha
Vikao vikianza na akaanza kusema ww sijui unachepuka hapo hapo na ww ndio utapata nafasi ya kuongea na ukiingiza neno kama ww ma fulani unataka niachane na mchepuko bado badilika kama uwez ondoka nyumbani kwangu acha watoto mchepuko atakuja kuwalea ukimaliza unasema kikao kifungwe
 
Dhumuni la kwanza ukiwaoa wanataka kula vya mume mwanzo mwisho mti ukikauka dharau nyingi napiga chini
 
We bwana em toa ushauri wa kisomi. Uchawi huo sio mzuri bhn. Ifute tu hii Boss Kubwa. Utawafanya wengi wakafanye jambo hili ambalo ni Shirki alafu wasijue hatima yake inakuwaje
Dunia ina pande mbili nami nimetoa ushauri wa pande mbili
Nilianza na huu mzuri

Pole sana ndugu yangu una mapenzi ya dhati kwa mwandani wako lakini yeye ni tofauti kwako
Ushauri wangu kwako. Usimfukuze mwache ifike mahali aondoke mwenyewe.. Kila anachokufanyia simama imara na Mungu wako.. Yeye ndio ataamua huu ugomvi

Chukua muda mwingi kuwa na watoto, wajali, wapende sana hawana na hawatakuwa na baba mwingine wa damu zaidi yako! Mke akiondoka leo akaenda kuolewa kwingine huyo sio wako tena! Lakini wewe utabaki kuwa baba wa wanao mpaka kiama

Wekeza nguvu, muda na chochote ulichonacho kwao.. Wanahitaji ulinzi wako hasa katika kipindi hiki ambapo hakuna wa kumwamini hata ndugu

Simama imara na Mungu wako HATOKUACHA
 
… I told her mama I'm getting married, I could hear her voice
On the other side of the telephone, she was smiling
And she asked me a question that I proudly answered
She said, "Son did you take time to know her?"…
---
Did you take time to know her [emoji848][emoji2827]
 
Kwasababu sio rahisi kihivyo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…