Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

Je, nimruhusu aje kunitembelea mkoa nilipo?

Wa Ajabu huyu, kwanza ana mahusiano tayari , pili inaoneshe Hana hisia na huyo msichana na hana future nae. Ila anachanganyikiwa na visenti anavyopata! Kabaki njia panda!

Simply hajui anachokitaka maishani mwake.
Wanaumewachache sanawamebaki unawezaje kula pesa ya mwanamke tena single mama aliyedesperate kuwa na mahusiano huyo mdada anachomiss ni love,attention naile bitterness ya kukataliwa na mimba mtoto inamsumbua pia,mleta mada ana roho ngumu kachukua opportunity hiyo,arudishe miamala ya watu hata kama iwe kwa njia ingine kamazawadi au whatever
 
Kama upo katika mahusiano na unajua anajua kama upo, msaidie kwa kutompotezea muda... mwambie kwamba wewe upite kulia na yeye apite kushoto...

Cc: mahondaw
 
Wanaumewachache sanawamebaki unawezaje kula pesa ya mwanamke tena single mama aliyedesperate kuwa na mahusiano huyo mdada anachomiss ni love,attention naile bitterness ya kukataliwa na mimba mtoto inamsumbua pia,mleta mada ana roho ngumu kachukua opportunity hiyo,arudishe miamala ya watu hata kama iwe kwa njia ingine kamazawadi au whatever
Hapo ndio mtu anachukulia kindness for weakness. Huo ni ulaghai na utapeli...wizi tu kama wizi mwingine.

Kwa kweli inabidi amhurumie tu asiendelee kumfuja pesa na bado akaujeruhi moyo wa huyo dada.
 
Habari za mchana Wakuu wengi ni Dada zangu na Kaka zangu nazidi kupitia kila Ushauri wa kila mmoja na nazidi kufunguka kiakili zaidi. Napenda kuwashukuru sana. Shauri nazifanyia kazi pia.
 
cha msingi miamala ithibitishwe kwake kama pesa nyingi sana unaweza mnunulia kama asset ukampa ilampeleleze kwanza kitu gani anataka kwa kiasi ya pesa hiyo,
Habari za mchana Wakuu wengi ni Dada zangu na Kaka zangu nazidi kupitia kila Ushauri wa kila mmoja na nazidi kufunguka kiakili zaidi. Napenda kuwashukuru sana. Shauri nazifanyia kazi pia.
 
Utakuwa humpendi huyo unayemuita mpenzi wako wa sasa.
 
Mwanaume kuwa na wanawake wawili ni fair sana.Ila hakikisha mmoja anamjua mwenzie vyema ila asiyemjua mwenzake asimjue milele.hata gari huwa na spear tyre.wanawake wanazingua sana amini nakwambia.
 
Hele unachukua bila ushauri ile mengine unataka ushauri...mrudishie pesa yake halaf umwambia asije wala mwanae asikuite baba
Worst advice ever.
Wewe ni Sent angel from above mkuu?
 
Back
Top Bottom