Omary Mkundi
Member
- Aug 30, 2022
- 15
- 109
Kawape hi
umepata..Wakuu Habari zenu... Katika harakat za Maisha nikajikuta nimeomba chuo marekan na Nikapata... Nimeenda kwenye interview ubaloz wa marekan.. Nikapigwa Maswali mpaka nkachanganyikiwa alafu mwisho WA siku Nikapewa kikadi niende kesho saa nane na nimeacha passport yangu ubaloz wa marekan.. Je apo nimepata visa?