Je nimemjibu jamaa vibaya kuhusu mchumba wangu??

Aisee pole sana na hongera kwa sio uvumilivu tu bali busara pia. U are true gentleman na Mungu akujalie mdada mzuri mwenye mapenzi na aliyetulia.

You did the right thing, she is not worthy ur povu wala energy. Good riddance na kwa huyo dada huyo kaka si mzuri looks wanagombana sana na ndio maana alikuwa anajirudi kwako mambo yanavyoharibika huko. She will never know real happiness!

Again pole na hongera!


Nashukuru sana mkuu wangu kwa majabu yako ya kutia moyo,kwa kweli jana ilikuwa siku mbaya sana tena sana sio kidogo,yeah mkuu she is not worth kitu kingine hajawahi kuniambia ana problem nikashindwa kumsaidia kwanza ndio nilikuwa namuuliza kama anahitaji msaada wowote,still siamini,wanawake sijui wengine wana tabia za aina gani.Pia inaonekana wanagombana sana coz time naongea na jamaa demu alikuwa kama anajitetea fulani jamaa akawa anamwambia shup pumbavu,si unaona sasa??

Nashukuru sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
pole, ndo drama za mapenzi.

Kuna mmoj alienda hospital kumsalimia, yule dada akamruka kama hamjui tena akisema 'hospital hii vichaa wao hawawafungii'

Thanx mkuuu ni mfano mzuri sana,sijui hawa watu wanakuwa happy kudanganywa au vipi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Umefanya VIBAYA!!
Demu alishamwaga Ugali kwa kukukana,
Nawe ungemwaga mboga kwa kumwambia huyo mwanaume mwenzio kua yeye ndio mwizi na we we ndio mmiliki.
Kama una ushahidi mbalimbali juu ya kwamba uhusiano wenu ni wa kitambo zaidi kuliko wa huyo jamaa ungemuonyesha ili azidi kukuamini kua yeye ndio mwizi.
Mwisho wa siku akija kukubali na kuamini kua yeye ndio aliongilia mahusiano yenu akakata kamba ndipo nawe Pia unakata kamba umuache demu anatapatapa.
Jamaa sio m'baya wako hata kidogo, Bali demu. So ungesuka plan ya kumharibia ili ajute kukupotezea muda
 
jamani papizo pole! pole sana, i knw it will take tym for u to forget, but beter now kuliko yangekukuta haya kwenye ndoa. wadada wengi wapo kimaslahi zaidi and not real love, oh lord have mercy!
 
Eeh, pole Bro, wala siamini alichokufanyia,eeh, anatapikaga amasi nini mwenzetu, ndio maana anajiona wa maana sana, just mpuuze tu, usihangaike naye anataka kukucontrol kama simu yake ya mkononi huyo, ukimbabaikia atajiona keki sana, mpotezee, asikufanye mjinga na *****, usijiumize zaidi kwake, usije ukampa na password na kadi ya ATM bure!

Kwa kweli so far nimechanganyikiwa sikuamini kilichotokea kabisaaa mpaka sasa,ila mipango ya mungu kwa kweli,yeah alijuwa labda nampenda kwa dhati ndio maana ila now nimechukua uwamuzi mgumu ku move on,ni kama mara 2 nzima alirudi na kuniomba msamaha huwezi amini. Nimeshampotezea na nashukuru sana kwa msaada wako na mawazo ya hekima.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Pole sana kwa mkasa huu ambao ni lazima utakuwa umekuathiri sana. Sioni mahala ulipojibu vibaya ulikuwa mstaarabu kupita kiasi. Mie nsingeweza kabisa kuwa mstaarabu kiasi hicho kusema kweli lazima ningemjibu hovyo kwa sababu hukuwa na kosa lolote lile la jamaa kukuwakia kiasi hicho. Pole sana.

Mkuuu imeniathiri sio kidogo huwezi amini yaani,kila kitu nakiona kibaya,na najiuliza makosa yangu yapo wapi na deserve haya yote. Plus jamaa mwenyewe nilivyomuuliza upo nae kwa mda gani alivyosema toka 2008 then nikamuuliza ulikuwa nae mda wote huo akasema hapana tulipeana break tulianza tena mwezi wa kwanza mapenzi yetu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huo ndio uanaume. I have the same story as yours. Mie nikaachana naye, baadaye na mtu wake wakashindwa kuoana. Mie kwa bahati nzuri nilibahatika kuoa na jana tuu tumepata first born baby boy na tunafurahia maisha. Yule binti mpaka sasa bado hajaolewa na baadaye alikuja kuniambia kuwa anajutia maana anaona kabisa ndani ya nafsi yake kuwa mimi ndo mumewe, mimi nikamwambia alichezea shiling kwenye shimo la choo-ikadumbuki ndani. All in all huwezi jua Mungu amekupangia nini, be calm and confident. Mungu atakupa mke mwema na utayafurahia maisha. Mungu akusaidie na kukuongoza.


Mkuu wangu nashukuru sana kwa mawazo yako naona ni the same story,na jamaa alitumia tu kigezo cha kusema anamuowa ila siwezi juwa kwa kweli,na sikutaka kutafuta ugomvi kabisaaa zaidi ya kuongea kwa utaarabu zaidi,yeah mkuu me zaidi nawatakia maisha mema kama walivyopanga.

How is your baby boy mkuu,nifikishie salam zangu aisee

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Papizo Nimekugongea LIKE kuonyesha msisitizo maana ulichowaambia kinaitwa Psychological Torture, yaani alitegemea utaumia sana na badala yake ume-reverse maumivu kwake. Alitaka uumie, alitaka akuonyeshe ufahari, lakini plan yake imefail na huo ndio ukomavu ndugu yangu, Hongera sana, In short hio ni mojawapo ya story fupi sana kwene mapenzi.
 
Last edited by a moderator:
Papizo, wewe ni bonge la Gentleman na msomi. Hongera kwa hiyo, umemjibu vizuri na kiungwana.
Pia pole kwa huo mkasa, usijali Sir God ana mipango mizuri zaidi kwako, utampata mdada mzuri na muaminifu zaidi ya huyo.

Nashukuru sana mkuu wangu kwa kunipa moyo kwa kweli na yes nimemuachia sir god kila kitu yeye ndio muamuazi,na naamini mkuu one day nitampata muaminifu kwa kweli sio siri.

Nashukuru sana mkuu wangu

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nimependa spirit yako ya kutogombea demu, safi sana wee kama mie aisee. Just stay calm na cha msingi tafta ela kwanza utawakamua wengi tu na watakuja wenyewe. Hamna haja ya ku-think twice for a friggin chick.

Asante sana mkuu,me nilishasema sitokuja kugombania mwanamke,so ni sawa kabisa mkuu,na now nahitaji kutuliza kichwa na kucancel everythin kwa kwelia,naona maisha yameshakuwa na kasoro.sana mkuu alikuwa hajui nini anataka siajabu jamaa anataka kumtumia hajui.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
nakupongeza kwa kuwa busara ilitawala ktk mazungumzo yako na bf wa gf wako.nakupa pole lakini ni nafasi nzuri kujifunza,daima mtu mwaminifu na mdhati hupewa anachostahili i mean usijilaumu kwa kumpoteza mpz wako ni kwamba umeepushwa na dhahama,kuwa mpole kaka utampata mwenye busara kama zako na mtulivu wa kweli.usithubutu kumrudia huyo anaye kuchezea mind yako.aweza pata ya kumpata atarudi tena kwako coz anajua utamsamehe.stay away with her upate maisha marefu na be patient bro.

Nashukuru sana tena sana ndugu yangu kwa ushauri wako mzuri,I appreciate kwa kunipa moyo and yes nimesha mtoa kwenye akili zangu tayari,kwa kweli naweza sema mwenyezi mungu ameniepusha na mengi siwezi jua. Na siwezi kabisaa kabisa unajuwa nilikuwaga namsamehe kwa sababu sikuwa najuwa nini kimejificha nyuma ya pazia ndio maana but now am done kwa kweli sio siri ndugu yangu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Nashukuru sana mkuu wangu kwa majabu yako ya kutia moyo,kwa kweli jana ilikuwa siku mbaya sana tena sana sio kidogo,yeah mkuu she is not worth kitu kingine hajawahi kuniambia ana problem nikashindwa kumsaidia kwanza ndio nilikuwa namuuliza kama anahitaji msaada wowote,still siamini,wanawake sijui wengine wana tabia za aina gani.Pia inaonekana wanagombana sana coz time naongea na jamaa demu alikuwa kama anajitetea fulani jamaa akawa anamwambia shup pumbavu,si unaona sasa??

Nashukuru sana mkuu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Mkuu kwanza pole kwa yaliyotokea,nilivyoona hapo wewe alikua anakutumia kama ATM na Huyo jamaa yake ndio aliyekua anamkuna kimapenzi so mapenzi yamemzidi na wewe akaona sio muoaji akaona bora aende kwa msela na akupige chini na hela zako hizo hila nakusifu sana kwa uvumilivu.
 
pole, ndo drama za mapenzi.

Kuna mmoj alienda hospital kumsalimia, yule dada akamruka kama hamjui tena akisema 'hospital hii vichaa wao hawawafungii'
Hiyo kali saana ndio maana vitabu
Vimeandika MUNGU alisema Wanaume ishini na Wanawake kwa akili na Wanawake wapendeni Wame wenu. Pia mwanamke huivunja nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
:doh:
 
aisee inasikitisha sana,upoamua kumpenda mt halifu unaambulia maumivu,huyo dem hana uhakika na anachokitaka but atajuta

Sio siri hii kitu imeni affect kwa upande mkubwa sana,kosa nililomfanyia sijui lipo isitoshe hajawahi kuniomba msaada nikamwambia sina ndio najiuliza,ina ni pain sana ila nitayatoa kichwani.namuombea kila la kheri ila roho yangu haipo happy kwa kitendo alichonifanyia.kipindi namuuliza before angekuja straight na kuniambia ukweli ndio nina mtu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hongera sana kaka, Usiwe na shaka utapata mrembo mwingine. Kilichobaki ni kusonga mbele, na usimuweke kinyongo ex wako, Huyo ipo siku atakuja kukuomba tena msamaha. Jiandae.

Pole sana.


Sent from my NOKIA 3310 using Tapatalk HD


Nashukuru sana mkuu kwa msaada wako I appreciate mkuu,asante na mimi sitokuja kumkubalia msamaha wake hata siku moja.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Sio siri hii kitu imeni affect kwa upande mkubwa sana,kosa nililomfanyia sijui lipo isitoshe hajawahi kuniomba msaada nikamwambia sina ndio najiuliza,ina ni pain sana ila nitayatoa kichwani.namuombea kila la kheri ila roho yangu haipo happy kwa kitendo alichonifanyia.kipindi namuuliza before angekuja straight na kuniambia ukweli ndio nina mtu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Time is the greatest healer.
 
Big up! Umemjibu vyema kabisa...Inaumiza kusalitiwa hivyo lakini mwenyewe umeona she is not worth of even a bit your worry or love!
Yani she is so low! Hajiamini na anarun parallel relationships, akiumia huku anahamia huku. Well waswahili walisema mshika mawili moja humponyoka na wewe ndo ushamponyoka...Ila huwezi jua kama alikuwa na nyinyi wawili tu ama kuna suprise nyingine.
A real man is worth a real woman period! hao fake waache waendelee, they deserve each other mwanaume gani unaenda kugombana na mwanaume mwenzio kisa a woman? wakati ni wazi mwanamke anayestahili kupiganiwa sababu haitokua because she has another man!
Beat Down!



Nashukuru sana kaka kwa ushauri wako mzuri na wa kutia moyo,ni kweli kabisa sielewi nini hasa kilikuwa kinaendelea I don't know serious,zaidi pamoja na hekima na vitu vyote nilivyofanya na kusema nafanya haya mambo coz nitakuwa nae for life then ndio nimeambulia haya yote,so zaidi me nawatakia mafanikio mema na yenye kheri, mkuu again thank u sana vile vile nikakaaa nikasema wanawake wapo wengi sana why niwe na kinyongo na mwanaume mwenzangu.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Wanawake bana,simalizagi kuwashangaa,hata uwafanyie nini wakitaka kukufanza watakufanza tu.

Mkuu sijui kwa kweli huwa wana matatizo gani sipati jibu kabisaaaa,na sielewi hasa wanahitaji nini.wakionyeshwa kupendwa na madhara yake haya.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Aisee pole sana na hongera kwa sio uvumilivu tu bali busara pia. U are true gentleman na Mungu akujalie mdada mzuri mwenye mapenzi na aliyetulia.

Again pole na hongera!

Duh, kama u-true gentleman unapatikana hivo, then I guess I'll never be one of them.
Yaani hiyo kwangu ni dharau moja kubwa ambayo ni ngumu sana kuvumilia. Ee Mungu nisaidie niwe true gentleman maana huu ungekuwa ni mtihani moja mgumu sana asee.
NB: Ni bora angeniambia mapema na sio kufanya kama alivyofanya, hapo I would have done something which she (Not me) would regret for the rest of her misery life.. kudadadek..
Yaani imeniuma as if mimi ndo victim...:A S 12:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom