Je nimekosea kumwambia hajui mapenzi?

Very correct!hata mimi ningempa za uso,wanawake wengi wenye pozi,nyodo na miyeyusho kibao chumbani ni weupe mbaya arifu.Ufundi wake anaishia kujinyonganyonga kama chatu aliyemeza mbuzi!
 
Hukumpenda wewe, true love rises above everything. Unadhani kuna mwanamke anaeanza mapenzi akijua kila kitu.
 
Well said mtamamchungu,akitaka mzoefu basi wako wengi,lakini hiyo ingemaanisha yeye mzabzab tuu. Mbichi ina thamana aiseeee!
 

duh nimeipenda hiyo clouds
 

aniulize nin? Mie thijui kitu.
 
Last edited by a moderator:
we ----- tu, we ndo hujui, kwann hukumfundisha?
 
au ulitaka anatoa tigo ndo ujue anajua? we una bahati umekutana na mshamba ulitakiwa kumfundisha
 

kweli ulikosea ulitaka ufundishiwe?
 

kumuacha eti hajui mapenzi sio kweli. Wewe hukumpenda huyo dada toka moyoni. Upendo huvumilia, hauhesabi mabaya, haujivuni. Km kweli ulimpenda kwa dhati usingehesabu mabaya yake eti hajui kuhandle mwanaume.
Dada wa watu kajiheshimu, akakuheshimu na akakupa thaman ya uanamke wake unasema hajui?????? Ebu fikiria ww ungeambiwa hujui ungejisikiaje ikiwa umejitunza na kuheshimu mwili wako. Nampongeza dada anajipenda sn na anajua thamani yake km mwanaume, ila nampa pole kwa kukutana na mwanaume km ww usiejua nn maana ya upendo wa dhati.
Waulize wanaume wa kweli km mapenzi ni kutiana tu kitandani na kukata viuno.
Hukumpenda ulitaka tu kumuonja na hukuwa na mpango nae kiivo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…