Na haya ni matangazo, weka ad blocker yatakimbia yote.
AnhaaHujadukuliwa Bali Unaonywa usitembelee hio website.
Nielekeze namna ya kuweka mkuuNa haya ni matangazo, weka ad blocker yatakimbia yote.
Ingia store ya browser yako. Kama ni chrome ingia hapaNielekeze namna ya kuweka mkuu
Ni matapeli. Kaa mbali.Ilikua inaitwa Annual 2021 Survey
Mkuu wengine tunaishi kwa Ads. Usifundishe watu kublock adsIngia store ya browser yako. Kama ni chrome ingia hapa
![]()
uBlock Origin - Chrome Web Store
Finally, an efficient blocker. Easy on CPU and memory.chrome.google.com
Mkuu wengine tunaishi kwa Ads. Usifundishe watu kublock ads
Inategemea na aina ya ads, mimi JF na site zote ninazotembelea kila siku si block ads,Mkuu wengine tunaishi kwa Ads. Usifundishe watu kublock ads
We jamaa acha hizo niki ingia toxicwap mpaka nakosa download link juu ya matangazo,Mkuu wengine tunaishi kwa Ads. Usifundishe watu kublock ads
Acha tublock tu maanaMkuu wengine tunaishi kwa Ads. Usifundishe watu kublock ads
Mkuu kwa pc nitumie mbinu gani kublock hizo ads make ni kero, natumia windows os, na browser nnayo tumia ni FirefoxInategemea na aina ya ads, mimi JF na site zote ninazotembelea kila siku si block ads,
Pia zipo script za kwako wewe webmaster kulimit adblocker,
Site nyengine ads zao ni malware kabisa,
Hii hapaMkuu kwa pc nitumie mbinu gani kublock hizo ads make ni kero, natumia windows os, na browser nnayo tumia ni Firefox
Shukrani sana mkuu ngoja ni iadd chapHii hapa
![]()
uBlock Origin – Get this Extension for 🦊 Firefox (en-US)
Download uBlock Origin for Firefox. Finally, an efficient wide-spectrum content blocker. Easy on CPU and memory.addons.mozilla.org