Je nikweli hivi ndivyo wanaume tunavyo ona?

hahaha! Hii ya uongo aisee... Mana ushahidi wa viungu kama makalio kutungiwa majina mbadala kila siku unaonekana. Kuweni tu wa kweli kaka/baba zangu!
 
hahaha! Hii ya uongo aisee... Mana ushahidi wa viungu kama makalio kutungiwa majina mbadala kila siku unaonekana. Kuweni tu wa kweli kaka/baba zangu!
hapo limeongelewa vazi sio kalio
 
tena hiyo mbona mmejipendela nyie hapo mngeona ni rangi nyekundu!
 
Aisay mbona hata mimi nimeona kama wanawake hapo, ile nguo waliona ona wanawake ni nzuri.

Ndo mana hata wife akitaka kwenda kununua ngua, lazima anichukue nikamsaide kufanya choice.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…