Je nikweli hivi ndivyo wanaume tunavyo ona?

ELFU-ONEIR

Senior Member
Jun 27, 2012
181
64
ert54ygr.jpg
 
hahaha! Hii ya uongo aisee... Mana ushahidi wa viungu kama makalio kutungiwa majina mbadala kila siku unaonekana. Kuweni tu wa kweli kaka/baba zangu!
 
Aisay mbona hata mimi nimeona kama wanawake hapo, ile nguo waliona ona wanawake ni nzuri.

Ndo mana hata wife akitaka kwenda kununua ngua, lazima anichukue nikamsaide kufanya choice.
 
Back
Top Bottom