Je, nikimnunulia chupi ya Tsh. 232,602.50/- atazidisha mapenzi?

Salaam Wakuu,

Nina Mwandani wangu nampenda sana. Natamani kuona anakuwa na furaha muda wote na kuniamini.

Sasa kuna meseji iliingia kwenye simu yangu bahati mbaya, nikaona amebadilika japo hakutia neno. Nafsi inanisuta sana..

Nikawa natafuta zawadi ya kumnunulia ili iwe kama samahani ya kiutu uzima.

Kuna website wanauza mavazi, nikaona Chupi nzuri nikaipenda.

Je nikimnunulia huyo chupi itasuuza moyo wake? Au atasema bora ungenipa hela nijue niifanyie nini.. (Akili yangu nahisi ataipeleka Vicoba ikaliwe na Mwenyekiti).

Naomba mawazo yenu

Chupi nilochagua ni hii
View attachment 2024572View attachment 2024573View attachment 2024574View attachment 2024575View attachment 2024576
Mnunulie Tumvulishe

Over.
 
Ha ha kama nnaona kila akiwa na game ya maana ndiyo atakuwa anaivaa...wahuninwanaivua na meno tuu
 
Yaani ndo Changamoto. Ila kuna jamaa kakubali kuniazima laki moja. Muhimu mpenzi wangu afurahi. Pesa kitu gani bana?
Kama ni hawa wa kwa mtigole ataona unaharibu pesa kibao kitakugeukia,alafu mbona unataka kufanya vitu hauna uwezo navyo,
 
Salaam Wakuu,

Nina Mwandani wangu nampenda sana. Natamani kuona anakuwa na furaha muda wote na kuniamini.

Sasa kuna meseji iliingia kwenye simu yangu bahati mbaya, nikaona amebadilika japo hakutia neno. Nafsi inanisuta sana..

Nikawa natafuta zawadi ya kumnunulia ili iwe kama samahani ya kiutu uzima.

Kuna website wanauza mavazi, nikaona Chupi nzuri nikaipenda.

Je nikimnunulia huyo chupi itasuuza moyo wake? Au atasema bora ungenipa hela nijue niifanyie nini.. (Akili yangu nahisi ataipeleka Vicoba ikaliwe na Mwenyekiti).

Naomba mawazo yenu

Chupi nilochagua ni hii
View attachment 2024572View attachment 2024573View attachment 2024574View attachment 2024575View attachment 2024576
Yeye atahisi umeinunua 3000, na ukimwonyesha ushahidi atakasirika atasema ungempa hiyo pesa akuonyeshe matumizi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom