Je, nikimnunulia chupi ya Tsh. 232,602.50/- atazidisha mapenzi?

Jikite kwenye mada mkuu.
Mpe fursa achague anachotaka kwenye hiyo website.

Wewe umependa hicho kivazi, bali yeye aweza penda saa, au aweza penda Lip Gloss, au rangi za kucha, huwezi jua nini kitafurahisha nafsi yake, hawa dada zetu wana vitu vyao wanavyopenda.

Rangi za kucha
1637983810415.png


Lip Gloss
1637984016859.png



Bangle Bracelet
1637984071129.png


Kiufupi anaweza chagua kitu ambacho hata hukufikiria, hivyo utakuwa umejifunza jambo
 
Salaam Wakuu,

Nina Mwandani wangu nampenda sana. Natamani kuona anakuwa na furaha muda wote na kuniamini.

Sasa kuna meseji iliingia kwenye simu yangu bahati mbaya, nikaona amebadilika japo hakutia neno. Nafsi inanisuta sana..

Nikawa natafuta zawadi ya kumnunulia ili iwe kama samahani ya kiutu uzima.

Kuna website wanauza mavazi, nikaona Chupi nzuri nikaipenda.

Je nikimnunulia huyo chupi itasuuza moyo wake? Au atasema bora ungenipa hela nijue niifanyie nini.. (Akili yangu nahisi ataipeleka Vicoba ikaliwe na Mwenyekiti).

Naomba mawazo yenu

Chupi nilochagua ni hii
View attachment 2024572View attachment 2024573View attachment 2024574View attachment 2024575View attachment 2024576
Kama ina chuma ulete mnunulie tu atasahau machungu yote ya msg
 
J
mnunulie tu mkuu, kazi ya kuivua tutasaidiana.
Jamani, mkuu kwanini usimtafute wako na wewe kuliko kimtamani wangu?. Kwa jinsi ninavyompenda, nikikufamania nahisi utasababisha nifungwe maisha. Usijipalie mkaa
 
Ora mjuba mambishe gani tunakuja leteani arifu usawa wenyewe ni apeche alolo kwani iyo zaga Ina flat screen ndichi ukute Apo toka mwaka uanze ujam bless ata maza kakitenge kakuzugia izo Mingo unazotuletea apa uku chuga tunaitaga ni uwaki...
 
Inaskitsha sana........kama una uwezo mnunulie lkn sjaona maaajabu yake haina tofauti na hz za buku buku huku kwetu mnadani​
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom