Je, nikawashitaki au nikubali yaishe?

Je, nikawashitaki au nikubali yaishe?

Hatuangalii tulipodondokea, tunaangalia tulipojikwaa.

Tambua kosa lako litatue na siyo kuwanyooshea watu vidole....

1:- Ni mlevi , je unakunywa na nani?......Hao hao wanakijiji.......kwanini?......kwa sababu wewe Ni masikini mwenzao (Wanavyokuona).

Hivyo Basi wanakumudu.

SULUHISHO.

1:- Kubali kosa la kulewa (uungwana) Ila usiongee au kuwapatia majibu mengi watakushusha zaidi...

2:-Epukana kuweka ukaribu nao Wala kulewa nao, Pongezi kwa kuwa na usafiri, usinywe hapo kijijini penda kulewa ugenini usipofahamika hautokuwa na limitations Wala wasiwasi.

3:- Acha umbea wa kujipendekeza kwa viongozi (Diwani,wanakijiji, wafanyakazi wenzio,Watejdaji, wenyeviti, Ishi wewe....

Mwisho Fanya maisha yako kuwa Siri yako, wewe Ni mwanaume siyo mwanamke kuwa na mipaka...
 
Salamu sio makusudio ya mada yangu pendwa .

Ndugu zanguni ,Mimi naishi kijijini Sana na Mimi ni mtumishi wa serikali ngazi niliobarikiwa ambayo ninyi haiwahusu na siwezi kuwaambia ng'o

Sasa Jana mtendaji wa kata yetu ambaye ni rafiki yangu na pia Mimi ndiye mshauri wake mkuu ,alinieleza kuwa kutakuwa na kikao siku ya leo na Mimi anaomba nihidhurie bila kukosa ,Sasa kwasababu Mimi ndiye mshauri mkuu .

Nilipatwa na fadhaa iweje aweke kikao bila kuniuliza walau nimpe ushauri basi nikamezea Ila nikamuhoji kikao hiki Cha Kijiji kinahusu nini akawa anang'ata maneno .

Sasa leo asubuhi mida ya saa mbili kikao kimekaliwa .

Wananchi wananisema Mimi kuwa huduma ninayotoa natoa nikiwa nimelewa hivyo hawana Imani na Mimi ,Sasa kwa ushamba wao eti wananishitaki kwa diwani kuwa aniondoe hapa kwenye kata yao 😭

Sasa kichekesho ni kuwa Mimi sipo chini ya diwani na Wala hawezi kunipanga Jambo lolote kuhusu kazi zangu ,alafu diwani mwenyewe Mimi ndiye mshauri wake mkuu juu ya masuala ya kampeni na pia ameomba nimuazime Corolla yangu kampeni zikianza ili azunguke vijiji vyote vya kata kupiga kampeni na Mimi ndiye mpambe wake mkuu hivyo kwa hili ni sawa na kusema mbuzi kafia kwa muuza bucha .

Ila sasa nipende kudeclare interest zangu kuwa ni kweli pombe nakunywa Ila sio muda wa kazi ,Mimi nakunywa kuanzia saa tisa na pombe sinywi za kizungu tena maana hela Sina ,Mimi nakunywa ulanzi hivyo kwa kunisema mbele ya watu Mia Saba na ushee nimeona ni Kama wamenidharau na kuniabisha nawaza niwashitaki au nikubali waning'atue .

Nasema nikubali waning'atue maana hawa wanakijiji wanakuwaga na namba za mpaka watu wa mkoani na wilayani hata wizarani maana wakija uwa wanajipendekeza ili waanze kututisha tukizingua .

Ndugu zangu wa damu wanajamiiforums hilo la pombe limeniuma Sana Ila sanjari na hilo Jambo lilioninyima amani mpaka nikaamua nijifiche kwenye hiki chumba Cha mikutano ili nitoe ya moyoni ni habari ya mwananchi mmoja kuthubutu kusema niliachwa na mke wangu sababu ya umalaya ilihali si kweli na pia akamalizia kuwa wake zao wako matatani maana napenda kutongoza wake zao .

Ndugu zanguni Mimi kwanza natoka Dar es salaam kwenye kila aina ya wanawake waliojaaliwa na kila kitu ,hivi kweli nianze kutongoza tuwanawake twa huku ,? Kwanza ni tweusi ,tumekondeana na zaidi hawana sifa nizitakazo (hasa ukubwa wa mpini) kwa maneno hayo huyu mwananchi naye kaiharibu asubuhi yangu na kuniboa Sana .

Nisiwchoshe nilitaka tushauriane Jambo maana kwanza niliwaza nifungue jalada hapa kwenye kata baadaye twende mahakamani ili wathibitishe waliyonituhumu nayo au wanilipe wakishindwa Ila kingine nikawaza labda nikubali waning'oe niende kwingine japo hapa niahaweka mizizi yangu kutoka kizembe ni kuhatarisha uchumi wangu .

Lakini la mwisho na linalonizunguka kichwani ni kuwa kwakuwa wasemaji wa huo upuuzi wote nimewaona basi niwape kipondo either kwa kutuma vijana wenye nguvu wawakung'ute alafu Mimi nisubirie hatma yangu .

Naomba ushauri wenu ,niko vibaya najihisi hasira na aibu Sana hasa ukizingatia hapa job sinaga time na washikaji wamefurahi Sana maana nawaona wakiniangalia wanatamani kucheka Ila wanajizuia na Mimi Sina time nao.

Karibu ndugu zangu mwenzenu siko sawa leo
Umeandika ukiwa mlevi..halafu unaonekana mjivuni!
 
Hatuangalii tulipodondokea, tunaangalia tulipojikwaa.

Tambua kosa lako litatue na siyo kuwanyooshea watu vidole....

1:- Ni mlevi , je unakunywa na nani?......Hao hao wanakijiji.......kwanini?......kwa sababu wewe Ni masikini mwenzao (Wanavyokuona).

Hivyo Basi wanakumudu.

SULUHISHO.

1:- Kubali kosa la kulewa (uungwana) Ila usiongee au kuwapatia majibu mengi watakushusha zaidi...

2:-Epukana kuweka ukaribu nao Wala kulewa nao, Pongezi kwa kuwa na usafiri, usinywe hapo kijijini penda kulewa ugenini usipofahamika hautokuwa na limitations Wala wasiwasi.

3:- Acha umbea wa kujipendekeza kwa viongozi (Diwani,wanakijiji, wafanyakazi wenzio,Watejdaji, wenyeviti, Ishi wewe....

Mwisho Fanya maisha yako kuwa Siri yako, wewe Ni mwanaume siyo mwanamke kuwa na mipaka...
Asante Kaka nimekuelewa illa kuhusu kujipendekeza kwao sio kweli mkuu hasa hawa viongozi wa vijiji Ila pia kuhusu kunywa nao ndiyo shida ilipoanzia ,nimekuelewa Kaka karibu mbeya upate hata tuviazi sado twa chipsi kaka
 
Serikali inatumia vigezo gani kuajiri watu wa sampuli yako? Elimu yenyewe unakuta umesomea dar star college Tandale ndani ndani huko ila unajiona wewe ni rais wa kijiji.
Hapana Kaka sijasoma huko uliptaja mkuu .
Wapi nimejikuta raisi wa Kijiji ndugu ? Embu nisome tena mkuu Sina mahali nimeonesha kujikweza lakini Sina mahali nilipoonesha majivuni Kaka .

Naomba pata muda nisome tena ,au wewe ndiye mzee Madulo uliyesema natongoza wake zenu na kamke kako eti nilikatongoza ?

Kaka hivi kweli Mimi nikatongoze ka mkeo kwa kipi ndugu ,sura hakana ,shepu mbingu na ardhi ,rangi malaika aingilie Kati .

Ndugu ikiwa ni Vita ya Kahawa Mimi kuuza mzigo mkubwa CPU njoo nikupe mbinu za wakulima kukubaali kukupa mzigo Ila msiniundie zengwe rafiki yangu .

Nimetoka mbali kuja kufanya kazi sehemu yenu sio kuwa nilipotoka nilifukuzwa hapana ni uzalendo wangu kukubali kuwatumikia ,kuwalinda na kuhakikisha haki na tiba mnazipata kwa wakati hivyo punguzeni chuki na mimi
 
Una shida, ondoka hapo hiyo Ni kengele ya hatari. Wanakijiji Ni hatari mno wakishakuwa na Element za chuki juu yako. Watakuua kweli!
 
Hapana Kaka sijasoma huko uliptaja mkuu .
Wapi nimejikuta raisi wa Kijiji ndugu ? Embu nisome tena mkuu Sina mahali nimeonesha kujikweza lakini Sina mahali nilipoonesha majivuni Kaka .

Naomba pata muda nisome tena ,au wewe ndiye mzee Madulo uliyesema natongoza wake zenu na kamke kako eti nilikatongoza ?

Kaka hivi kweli Mimi nikatongoze ka mkeo kwa kipi ndugu ,sura hakana ,shepu mbingu na ardhi ,rangi malaika aingilie Kati .

Ndugu ikiwa ni Vita ya Kahawa Mimi kuuza mzigo mkubwa CPU njoo nikupe mbinu za wakulima kukubaali kukupa mzigo Ila msiniundie zengwe rafiki yangu .

Nimetoka mbali kuja kufanya kazi sehemu yenu sio kuwa nilipotoka nilifukuzwa hapana ni uzalendo wangu kukubali kuwatumikia ,kuwalinda na kuhakikisha haki na tiba mnazipata kwa wakati hivyo punguzeni chuki na mimi
Siku ukikatwa korodani utajua hujui..eti shepu..mimi ni baba yako, mama yako ndo size yangu.
 
Back
Top Bottom