nosspass
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 5,815
- 4,791
Ndio nataka nifanye mpango nimtie
kumbe hata hujamla.......hupati kitu hapo,,,,utachunwa mangi....songa mbele.....
Ndio nataka nifanye mpango nimtie
Habari ndugu zangu mimi ni kijana ambaye nko chuo kuna msichana mmoja hivi nimetokea kumpenda sanaa nilijaribu kumwambia akaniambia nimechelewa coz tayari ana mtu wake nikajitahidi kumbembeleza bahati nzuri akanielewa so tukawa in relationship.
Sasa cha ajabu huyu msichana amekuwa kimya sana in communication wala hanicheki mpaka mimi nianze nikimtumia msg kwa mfano saa 1 usiku anaweza akajibu saa 3 usiku.
Naweza nikampigia asipokee na akipokea nikianza kuongea nae tu ananiambia ana usingizi daah sasa mimi ninakua simuelewi kabisa yaani nimevumilia sana mpaka nahisi uvumilivu unaanza kunishinda aise, naombeni ushauri wenu nifanyaje na je ni kweli ananipenda au?

Kutusumbua kote huku kwa kuhitaji ushauri kumbe ni kwa sababu korodani zakuwasha...nyambafffff!!!