Je, nifanye nini?

Je, nifanye nini?

elias godfrey

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
35
Reaction score
6
Habari ndugu zangu mimi ni kijana ambaye nko chuo kuna msichana mmoja hivi nimetokea kumpenda sanaa nilijaribu kumwambia akaniambia nimechelewa coz tayari ana mtu wake nikajitahidi kumbembeleza bahati nzuri akanielewa so tukawa in relationship.

Sasa cha ajabu huyu msichana amekuwa kimya sana in communication wala hanicheki mpaka mimi nianze nikimtumia msg kwa mfano saa 1 usiku anaweza akajibu saa 3 usiku.

Naweza nikampigia asipokee na akipokea nikianza kuongea nae tu ananiambia ana usingizi daah sasa mimi ninakua simuelewi kabisa yaani nimevumilia sana mpaka nahisi uvumilivu unaanza kunishinda aise, naombeni ushauri wenu nifanyaje na je ni kweli ananipenda au?
 
Habari ndugu zngu mm ni kijana ambaye nko chuo kuna msichana mmoja hv nimetokea kumpenda sanaa nilijaribu kumwambia akaniambia nimechelewa coz tayari ana mtu wke nikajitahidi kumbembeleza bahati nzuri akanielewa so tukawa in relationship sasa cha ajabu huyu msichana amekuwa kimya sana in communication wala hanicheki mpaka mm nianze nikimtumia msg kwa mfano saa 1 usiku anaweza akajibu saa 3 usiku naweza nikampigia asipokee na akipokea nikianza kuongea nae tu ananiambia ana usingizi daah sasa mm ninakua simuelewi kabisa yaani nimevumilia sana mpaka nahisi uvumilivu unaanza kunishinda aisee naombeni ushauri wenu nifanyaje na je ni kweli ananipenda au?
Kama ujamtia imekula kwako wewe jenga gpa Tu usijitie unagenye utadisko..
 
Shida yako wewe nikumtia tuuuu?
Hahahaha wewe mwanamke hakomoleki papuchi ni sawa nampila untanuka na kusinyaaa utamliza shahawa zako na mwenzio zimnenepeshe, embu tuliza nyege mshindo hizo utaumia!!
Ndio nataka nifanye mpango nimtie
 
Making yourself too loving, desperate, too much engaged takes you to a very disadvantaged angle. Ukishakuwa mwanaume unatakiwa ujue namna ya kucheza karata zako.... na usimuamini sana anakupenda kihivyo kwa kuwa tu alikubalia baada ya nguvu zako nyingi kumshawishi amuache kipenzi chake. Huenda upo tu kama back-up ya matumizi yake ya sana (consumption) na kampani tu.

Pole lakini.

Naweza nikampigia asipokee na akipokea nikianza kuongea nae tu ananiambia ana usingizi daah sasa mimi ninakua simuelewi kabisa yaani nimevumilia sana mpaka nahisi uvumilivu unaanza kunishinda aise, naombeni ushauri wenu nifanyaje na je ni kweli ananipenda au?
 
Thats my fine young man. Am proud of you Tized.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom