Je niende Arusha au aje Dar?

Leta namba nimvutie ng'ora ukiibuka fasi ya Chugastan uje umdere maghetoni Ngarna. Yasirire.
 
Ogopa saana mwanamke kukuita kwake/kwao. Unaweza kufika arusha ukakosa unachokitaka na ukarudi dar ama kwa lift au kwa miguu ama ukiwa mlemavu. Sio wote lakini unaweza kuandaliwa zengwe hapo mpaka ushangae. Utauza mpaka line uiyosajili kwa namba ya nida uliyoisotea kwa kupigwa jua kwenye foleni.
 
noma mzee
 
Aje dar ila hakikisha unalamba tigo yake
 
Yaani unataka tukushauri pa kwenda kutendea dhambi ya uzinzi?? Kijana oa uweke kitu yako karibu na wewe ili ukiihitaji usisafiri. Corona ipo na safari sio nzuri saana. Mtu awe na kisima chake cha maji mwenyewe au vp??
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…