Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,652
- 13,077
Heshima mbele wanatechnology,binafsi nataka kuanza kujifunza from scratch,hakuna hata programu moja ya kompyuta ninayoijua lengo langu ili niweze kuwa web designer
nashukuru mkuu ngoja nianze somo,nikikwama nitarudiAnza na HTML peke yake kwanza, tumia notepad kama development tool yako kwa kujifunzia, check na tutorial link hiyo: HTML Tutorial . Usisite kurudi ukipata tatizo lolote.
nashukuru mkuu ngoja nianze somo
Link nyingine nzuri ni Hii W3Schools Online Web Tutorials. Fuata mtirirko kama unvyoonyshwa hapo mpaka kwenye CSS.
kwa kuwa umesema unataka kuwa web desinger ukimalza kajifunze HTML na CSS nenda kajifunze photoshop kidogo ujue jinsi photoshop inavyoweza kuongeza ladha ya tovuti. Pia java script na jquery
Elewa kuna tofauti kidogo ya web developer na web desingers
Asante sana mkuu nitaanzia hapa mpaka nielewe.Je ni tofauti gani kati ya web developers na web designers na ni ipi nzuri kati ya hizi fani mbili?Link nyingine nzuri ni Hii W3Schools Online Web Tutorials. Fuata mtirirko kama unvyoonyshwa hapo mpaka kwenye CSS.
kwa kuwa umesema unataka kuwa web desinger ukimalza kajifunze HTML na CSS nenda kajifunze photoshop kidogo ujue jinsi photoshop inavyoweza kuongeza ladha ya tovuti. Pia java script na jquery
Elewa kuna tofauti kidogo ya web developer na web desingers
Asante sana mkuu nitaanzia hapa mpaka nielewe.Je ni tofauti gani kati ya web developers na web designers na ni ipi nzuri kati ya hizi fani mbili?
Chukua na hii link Scratch | Home | imagine, program, share itakusaidia kwa kujifunza. Ukikwama mahali we ni PM.Heshima mbele wanatechnology,binafsi nataka kuanza kujifunza from scratch,hakuna hata programu moja ya kompyuta ninayoijua lengo langu ili niweze kuwa web designer
Chukua na hii link Scratch | Home | imagine, program, share itakusaidia kwa kujifunza. Ukikwama mahali we ni PM.
basi nitailazimisha akili yangu katika kudesing nikikwama nitaenda kwenye developingDeveloping a website ni kitu kila mtu anajiweza kujifunza, designing a website ni ngumu zaidi, you need to have that artistic eye, kama ilivyo kwa fashion designer (sio kila mshonaji ni fashion designer)
It is much easier to learn how to develop a site that learning how to design a site