Je ni ya kweli haya!

Wale wenye mrengo wa imani kali za kilokole watakuambia ndoto nyevu huletwa na Jini mahaba, na kwamba kuikosa ndoto nyevu ni udhihirisho kuwa huna Jini mahaba.

Mi naangalia tu! 😎
Madogo wapiga nyuchi vizuri tofauti na sisi tulisota hadi miaka 25 ndio uloweke fimbo kwa mara ya kwanza, wao akibarehe tu form two pale vidada vipo vinampa vizuri tu, na hii ni kwa sababu madogo wanavisimu vidogo vidogo kwa hiyo kukutana ni ize tu sio kama zamani unamvizia demu kisimani na bado anakuja na wadogo zake pamoja na mama yake!
 
Umeongea ukweli mtupu. Tena kizazi hiki vijana hawatongozi kama zamani, kipindi kile utongozaji wako ndio utakaofanya ule uroda.

Ukiwa domo zege, basi utakula kwa macho.
 
Umeongea ukweli mtupu. Tena kizazi hiki vijana hawatongozi kama zamani, kipindi kile utongozaji wako ndio utakaofanya ule uroda.

Ukiwa domo zege, basi utakula kwa macho.
madogo hawana shida saivi lakini pia videmu saivi vinapenda pesa kwa hiyo dogo akijimeki akapata buku tano na sms za jero anakivuta kirahisi tu anachapa kati kwa hiyo dogo hawezi kuchafua boxer tena
 
Huyo muuliza swali amejuaje kwamba GenZ hawaoti ndoto nyevu wakati yeye siyo GenZ?

Kwa mujibu wa Sayansi, Kila mtoto anapobarehe, lazima ataota ndoto nyevu

Mimi nimeota hadi namaliza kidato cha 6, unakuta unaota upo na msichana mzuri uko naye faragha, unaamka asubuhi umechafua boksa πŸ™Œ
 
madogo hawana shida saivi lakini pia videmu saivi vinapenda pesa kwa hiyo dogo akijimeki akapata buku tano na sms za jero anakivuta kirahisi tu anachapa kati kwa hiyo dogo hawezi kuchafua boxer tena
Dah! Kweli kabisa. Mimi kipindi fulani nilikuwa boarding, nikawa sipati mademu, aisee manii zilikuwa nzito kama grisi.
 
twita toka iwe ya kulipa watu, ndo wadau kama hao wametokea kwa wingi sana
 
Inashangaza kwa kweli

Kila mmoja wetu amewahi kupitia hiyo Hali, useme baada ya muda huwa inaondoka hasa baada ya mtu kuoa/kuolewa
content creators wao lolote lile litalojaza watu wanasema tu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…