Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Duniani kuna utetezi wa hoja ambao hata shetani hataki kusikia.

Hivi mtu ambae ni normal tena above 34yrs aseme haitaji mtoto??? Anaongea toka moyoni??? Acheni utani huyo atakuwa na tatizo tena kubwa sana. Lady Jay Dee, Wema, ray c nk usiku na mchana wanatafuta watoto ila uwezo wa kupata mtoto hawana. Sema kurudi nyuma tujikumbushe mzee sungura baada ya kuchoka hadi mkia alisemaje??

Kauli nyingine ni kufuru na kama kizazi kipo ukasema haitaji mtoto angalia sana siku utatafuta sana na utakosa.
 
Huyo ndo strong woman wa istagram bila shaka..
 
Wapo mitume na manabii wa Mungu ambao walikuja duniani na kuondoka bila kuoa wala kuzaa je hao hawakuwa na mbegu au uwezo wa kuzaa? Au unataka kusemaje labda?

Linapokuja swala la sheria za Mungu hakuna excuse ya Nabii au mtu wa kawaida.

Wewe upewe mbegu, upewe uwezo wa kuzaa, upewe na muda bado usizae wewe huna maana.

Hata mti usiozaa matunda unapaswa kukatwa. Hauna maana
 
Mkuu unafikiri bado upo enzi za kina Adam ambapo ilikuwa lazima kuzaa ili kuijaza dunia? Tulia wewe hii dunia sasa hivi imeshajaa ukizaa wewe na yule inatosha siyo lazima kila mtu azae!

Dunia ni ile ile Mkuu.

aliyekuambia dunia imejaa ni nani?
Kama wewe ni mtu wa kutembea duniani huwezi ongea upuuzi kama huo.

Dunia ili ijae itachukua miaka elfu na zaidi. Kamwe Dunia haitajaa.
 
Nisimjue huyo mzee wa bikira tena hapa tukikaa vibaya atabadilisha mada sasa hivi ataleta habari zake za bikira

Utamsikia "mimi ndiyo maana siku zote nasema ili kuepusha haya yote mwanaume anatakiwa aoe mwanamke bikira"

Hahahaa! Leo mada mezani ni ulazima wa kuzaa. Usibadilishe mada
 
Unakataza kuzaa watoto kwa Mamlaka ya nani?
Kuzaa ni moja ya kazi ya Mungu kwenye uumbaji. Kutokuzaa ni kuzuia mipango ya Mungu. Huwezi pewa mbegu usizitumie.

Amri ni kuzaa tuijaze dunia. Kumbuka dunia haiwezi jazwa hata mzaliane watoto mia mia.
 
Kila mtu hulipwa thawabu kwa alichofanya. Ila kutunza watoto wa wengine isiwe sababu ya kuvunja sheria ya kutokuzaa ikiwa unambegu na unauwezo wa kupata mtoto.
 
Unakataza kuzaa watoto kwa Mamlaka ya nani?
Kuzaa ni moja ya kazi ya Mungu kwenye uumbaji. Kutokuzaa ni kuzuia mipango ya Mungu. Huwezi pewa mbegu usizitumie.

Amri ni kuzaa tuijaze dunia. Kumbuka dunia haiwezi jazwa hata mzaliane watoto mia mia.
Nani amekukataza kuzaa?
 
Hujajibu swali.
Hakuna aliekukataza kuzaa.
Dunia imeshajaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…