Je, ni wangapi wasiotamani kupata watoto?

Nisimjue huyo mzee wa bikira tena hapa tukikaa vibaya atabadilisha mada sasa hivi ataleta habari zake za bikira

Utamsikia "mimi ndiyo maana siku zote nasema ili kuepusha haya yote mwanaume anatakiwa aoe mwanamke bikira"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnaweza kuwa mnajadili korona akaingizia mambo ya bikira
 
Sawa mkuu, ,,ubarikiwe sana
 
Huyo mayai yake katengenezea chips kwahiyo lazima aseme hivyo
 
Huyo mayai yake katengenezea chips kwahiyo lazima aseme hivyo
 
Ni kweli,,ila majuto ni mjukuu...kwani hata wale waliochaguwa kuwa mashoga,,,umeshuhudia mwisho wao?japokuwa kila mtu na maamuzi yake lakini uamuzi huo hauna mwisho mwema,,,.na ujuwe kabisa kuna watu wanajuta Leo kwa maamuzi yao ya Jana...
Kila uamuzi una majuto mwishoni, Kwako ikiwa jambo A ni majuto, kwa yule jambo A ni mafanikio (na kinyume chake ni ukweli).

Kuna anaejutia kunenepa wakati huo huo kuna anaefurahia kunenepa, inategemeana ulilenga nini? Wote hawawezi kufanana.

Kwahiyo bado dada huyo anaweza kujutia sana kuzaa au kufurahia sans kuzaa. Uamuzi ni wake mwenyewe bila kuangalia ni factors gani zimepelekea yeye kufikia maamuzi hayo. Swali ni, Je uamuzi huu utampa furaha ya nafsi? Kama jibu ni ndio, basi na iwe hivyo.

Mimi na wewe tupambania chaguzi zetu

Sent from my HUAWEI LUA-L21 using JamiiForums mobile app
 
Aise kuna mlimbwende humu ambaye hataki kuzaaa?...basi anitafute tuenjoy life kwa kugegedana na kusafiri dunia
 
Nukukosoe kidogo mtoa post,hakuna mdada mrembo wa miaka 32,huyo ni mwanamama.
Turudi kwenye mada,unajua wanawake huwa tupo emotional kuliko logical,huyo mwanamama matatizo fulani,ni aina ya wa wamama wasiokwenda kulingana na umri wao,pengine ametafuta mtoto kakosa,au uzuri unamdanganya,Kila mwanamke anatamani mtoto .Kama ingekuwa mwanamke anategemea mtoto uzeeni mama wa kambo wasingekuwa wengi Kama walivyo Sasa hivi.Kuna lililomsibu ndo maana anasema hivyo,hiyo kauli haina uhalisia.
 
Napenda watoto ila siwafikirii vibaya wasiopenda kuwa nao..ni choice kama choices nyengine….

At 32 years,labda amepitia mengi kwenye mahusiano yake na akaona labda wanaume wanataka kumtumia tu ..hawako serious nae...kuliko kuwa single mother bora asiwe na watoto...na mimi nakubaliana nae kabisaa...
 
Hizi ni speculations zako.

Usilazimishe kila mtu awe kama unavyofikiri wewe.

Watu tuko tofauti.

Namjua dada mmoja ana mtoto mmoja na anasema yeye hakutakiwa kuzaa mtoto.

Alizaa kwa pressure za familia tu kumtaka aolewe na kuzaa.
 
32 Ni mwanamama? Aisee, kwahiyo Rihanna Ni mwanamama, noted .

Si kila mwanamke anataka mtoto. WaPo wengi wasiotaka , ni basi tu wanaogopa jamii wanazaa and they hope for the best .
 
Wapo mitume na manabii wa Mungu ambao walikuja duniani na kuondoka bila kuoa wala kuzaa je hao hawakuwa na mbegu au uwezo wa kuzaa? Au unataka kusemaje labda?

Jombii hii reference yako nimeipenda, kali mno 😃 akikujibu niTag
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…