KA-TAKupanga Ni Kuchagua
Mkuu this is too general...mimi naamini wapo wasiotaka watotoUkichunguza sana,,,hiyo kauli ya sitaki mtoto,,,ni kauli ya sizitaki mbichi hizi.. Pengine huyo mwanamke ni mgumba,,,hana uwezo wa kupata mtoto tena ktk maisha yake,,, na amehangaika maisha yake yote bila mafanikio,,sasa anaaminisha watu kwamba hataki mtoto...ukweli ni kwamba,, tamaa ya kutaka mtoto ni kubwa sana kuliko pesa,haswa ukiwa na umri zaidi ya 35 ....tena wengine hulia machozi kabisa,,amini maneno yangu...huyo ni mgumba straight..anachoongea ni maneno ya kishujaa,,hakuna asiyetaka mtoto.
Haa😀😁KA-TA
Acha Tuone!!!!!Mkuu this is too general...mimi naamini wapo wasiotaka watoto
Ni kwl mkuu,,nimesema huyo dada pengine ni mgumba,,Nina maana baada ya kutafuta sn mtoto bila mafanikio sasa analeta story za sizitaki mbichi hizi...Nina imani wapo wanawake hawajazaa lakini bado wanaimani watazaa siku moja,,na hawawezi kuwa na kauli kama ya huyo Dada,,,,hyo dada ana kauli za kukata tamaa,,,ndy maana anasema hahitaji mtoto, na hana faida kwake..sababu ameshaona ni miujiza kupata mtotoInwezekana akawa mgumba au asiwe mgumba. Ila ninachoamini ukikutana na wanawake wa aina hiyo kimbia kabisa kaa nao mbali kwani ni makatili sana na ndio huwa wanatupa watoto kwenye mashimo ya vyoo. Kuna wagumba kibao ninawafahamu wanawapenda watoto kiasi hata huomba kukaa na watoto wa ndugu zao au hata muda mwingine wanachukua watoto mayatima wanawatunza kama watoto wao.
Mkuu sio kwa age yake huyo Dada, ,hapo ni jioni tayari...ameshahangaika sn tu,,bila mafanikio,,ndy analeta kauli hizo...hakuna asiyetaka mtoto mkuu,,,wapo watu wana kila kitu lakini wanaumia sn sababu hawana watoto,,,hivi u wanaume wako upo wapi kama huwezi kudunga mwanamke mimba?hivi uanamke wako upo wapi kama huwezi kufunga mimba?hicho kitu kinawaumiza sn mkuu.,..nikupe mfano mmoja,,,yupo Dada Fulani kaozesha mwanawe kwa jamaa Fulani anapesa zake,,,huu ni mwaka wa kumi na tano jamaa hajapata mtoto,,,wamekwenda kupima hospital kaonekana mume ndy ana matatizo ya uzazi..sasa tabu inakuja mke anataka mtoto,,mume anamwambiya tuishi kwa kulea watoto wa watu,,,mwishowe mama Mkwe akamshawishi mwanae wa kike adai talaka,,,ili aachwe ,,akaolewe pengine aweze kuzaa,,,kesi ipo bakwata,,jamaa hatoi talaka,,,mke kaamua kuacha kila kitu kwa mumewe nyumba,,magari kaacha sababu tu,,na yeye aitwe mama,,,kwahyo mkuu Mimi siamini kama kuna watu hawataki watoto,,,unaweza usihitaji mtoto kwa kipindi Fulani cha maisha,,,lakini sio kuanzia miaka 35 useme sihitaji mtoto,,ni kauli ya kuangaliwa kwa jicho la tatu... Kwa kifupi ni kauli ya kukata tamaaMkuu this is too general...mimi naamini wapo wasiotaka watoto
Pamoja na gazeti lako reeefu ambalo sijalisoma, bado mtazamo wangu ni uleule...mimi napenda watoto lakini siwezi kuwa msemaji wa kila mwanamke aliyepo chini ya jua kwamba anapenda. Kila mtu ameumbwa na hisia zake, matamanio na akili zake. Hatuwezi kufanana hata siku mojaMkuu sio kwa age yake huyo Dada, ,hapo ni jioni tayari...ameshahangaika sn tu,,bila mafanikio,,ndy analeta kauli hizo...hakuna asiyetaka mtoto mkuu,,,wapo watu wana kila kitu lakini wanaumia sn sababu hawana watoto,,,hivi u wanaume wako upo wapi kama huwezi kudunga mwanamke mimba?hivi uanamke wako upo wapi kama huwezi kufunga mimba?hicho kitu kinawaumiza sn mkuu.,..nikupe mfano mmoja,,,yupo Dada Fulani kaozesha mwanawe kwa jamaa Fulani anapesa zake,,,huu ni mwaka wa kumi na tano jamaa hajapata mtoto,,,wamekwenda kupima hospital kaonekana mume ndy ana matatizo ya uzazi..sasa tabu inakuja mke anataka mtoto,,mume anamwambiya tuishi kwa kulea watoto wa watu,,,mwishowe mama Mkwe akamshawishi mwanae wa kike adai talaka,,,ili aachwe ,,akaolewe pengine aweze kuzaa,,,kesi ipo bakwata,,jamaa hatoi talaka,,,mke kaamua kuacha kila kitu kwa mumewe nyumba,,magari kaacha sababu tu,,na yeye aitwe mama,,,kwahyo mkuu Mimi siamini kama kuna watu hawataki watoto,,,unaweza usihitaji mtoto kwa kipindi Fulani cha maisha,,,lakini sio kuanzia miaka 35 useme sihitaji mtoto,,ni kauli ya kuangaliwa kwa jicho la tatu... Kwa kifupi ni kauli ya kukata tamaa