Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Je, Ni wanaume wote wapo hivi?

Status
Not open for further replies.

Kelly G

New Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
2
Reaction score
0
Nimatumaini yangu wote ni wazima

jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili ukubaliane na ntakachoomba kwako nikamuomba kama hataweza kuvumilia kunisubiri basi awe na mpenzi mwingine sababu sipendi kushare kama mara tatu akasema ataweza nikaja DSM kwa ajili ya mambo ya shule.

Ile nafika huku miezi miwili kupita akapata smartphone akabadilika akaniambia ktk social network nisimuite sweet names mara anataka kulala mapema eti mwili ukuwe mara nikipiga simu yake naukizwa leta habari kitu kidogo ananuna hata siku tatu pengine mimi hata sijakosea.

Fb posts za love haziishi nikaamuwa kufata yangu baadae nikagundua ana girlz wengi katika mitandao wanaomsufia zile sifa ndio zinampa kichwa mwezi mzm ukapita akiendelea hivyo kuna siku akaniambia kuwa yote niliyokuwa nakufanyia ni sababu ya msichana mmoja hivi Fb aliponitajia jina la huyo girl alikuwa ni rafiki yangu ikanibidi nimwambie yule msichana waendele kwa kuwa alinikana kuwa alishaachana nami yule girl nae akamkataa.

Sikupenda hali ya mpenzi nikaomba tuyamalizee tuendele katika mahusiano kumbe ndo nakaribisha tatizo lingine
baada ya kuwa pamojaa akawa hayupo kama awali hazikupita siku nyingi akaniambia sihitaji msichana sikuweza kumlazimisha kwa kuwa ni uamuzi wake nikaendelea na mambo mengine ukapita mwezi.

Nikiwa naumwa miguu sikufahamu nani alimpa taarifa akawa ananijulia hali kama mwanzo akanibembeleza nikamwambia mimi na mavazi ma baya kila sifa zote mbaya ninazo lakini kwa kuwa nampenda nikasahau yaliyopita nikarudiana nae kama mwanzo.Baadae nikapoteza usichana wangu kwa jinsi nilivyompenda nikawa na imani yeye ni wa kwanza na wamwisho kwangu .

Duh kumbe nimewrong nikimuhitaji hataki kuonana nami nikaona likizo chungu.tukienda lodge hataki kutoa fedha yake mara naumwa visingizio vingi me nitoe zaidi yeye yake inamipango minginee.Nikichelewa kidogo kufika alipo anazira na kununa akaanza maringo yake kama mwanzo mara sweet names kwa fb a/c yake kutoka kwa girlz akanimbia nawe waite sikujali hilo hata alipo niunfriend kwa fb a/c yake.

Nikabidi niondoke sikutaka rikizo yangu iwe kikwazo kwa wengine akaendelea na tabia yake kama mwanzo tena akazidi hadi siku 5 zinaweza pita bila hata yeye kunitafuta ikaendaa hvyoo nikiuliza hana vochaa mara hapend kujiunga anagomba tu kuna day nikawa natoka kwenye kipind mdogo wang akanitumia msg akisema kuwa mpenzi wako ananisimbua Fb ananitaka nilipokuja kumuuliza yeye akasema yeye ndio kanishobokea.

Nami nikafanya hvyo ntakwambia kesho yaani anaona kawaida tu.sikuhitaji kumuuliza kufahamu chochote kwa kuwa nafahamu tabia zake
kuna siku nikachukua simu ya sister nikakuta massage za yule mdogo yangu anaishi dom ziliwa zinazungumzia mambo ya boy wangu
kuwa anamsumbua simu kila mara anataka waonane mara anafuture naye maneno meng niliumia sana kudhalilishwa vile nikiamini mwenzangu yupo busy na chuo hata kunitafuta kwa nadra mambo mengi kumbe busy na girls.

Nilipomwambia akaniblock whatzap zen akawa hatumi tena hata texts nikituma sijibiwi nikamwambia yaishe anisamehe yote kwa kuwa nampenda mwisho nikachoka kutuma massage akanitafuta alipopiga simu sikuwepo sikufahamu nani alipokea na kiliendelea nini nilipokuja mtafuta mimi alipokea simu akiongea kwa dharau na maringo, akaniambia amekasirishwa na nimemuuzi sana kwa niliyoyafanya kuhusu yeye na mdogo wang nikabaki nashangaa mimi ndo tatizo nimsamehe sana kwa kuwa yeye haitaji kuwa na mapenzi nami mwenye lawama ilibidi niende call nililia sana.

Mama alipofanya mawasiliano nae kufahamu ni nani nini kinaendelea ,bado hakuthamini yule ni mzazi akaongea kwa maringo kama awali mama hakusikiliza kwa sababu ya dharau aliyoionyesha. Sikuwa na jinsi ilibidi nibadili namb ya simu nikamuahidi sitamsumbua tena baada ya siku kupita nikakuta katika account yake ya Fb ameadd relationship na msichana mwingine tena.

Je, wapenzi wote wapo hivyo na kwa wengine?
 
endelea na kitabu tu mama angu mpnz sisi hatueleweki ata nyie pia mko ivo ivo jikite kwenye kitabu kwanza mimi pia nilifanyiwa kitu mbaya na jinsia kama yako nimeamua moja tu shule kwanza
njoo pm tushee matatizo
 
Amka, acha kupoteza muda wako kwa wapuuzi kama huyo wasiojua thamani ya mwanamke anaejali mwanaume.
Concentrate kwenye masomo na usahau kabisa kuwa uliwahi kukutana nae. Na kuhusu swali lako jibu ni kuwa Wanaume wote hawako hivyo.
 
Soma msichana achana na wanaume, kama huyu ndo wakwanza kakutenda bado kama wanne hivi mpaka uolewe, jivike moyo wa chuma
 
Achana nae anakupotezea muda
 
Habari zenu ndugu zangu,

Nimatumaini yangu wote ni wazima

jina langu ni Kelly nilikuwa na mpenzi wangu ambaye nilimpenda sana kabla sijaenda kusoma mkoa mwingine ambao ni DSM nilimwambia naondoka lakini unabidili ukubaliane na ntakachoomba kwako nikamuomba kama hataweza kuvumilia kunisubiri basi awe na mpenzi mwingine sababu sipendi kushare kama mara tatu akasema ataweza nikaja DSM kwa ajili ya mambo ya shule.

Ile nafika huku miezi miwili kupita akapata smartphone akabadilika akaniambia ktk social network nisimuite sweet names mara anataka kulala mapema eti mwili ukuwe mara nikipiga simu yake naukizwa leta habari kitu kidogo ananuna hata siku tatu pengine mimi hata sijakosea.

Fb posts za love haziishi nikaamuwa kufata yangu baadae nikagundua ana girlz wengi katika mitandao wanaomsufia zile sifa ndio zinampa kichwa mwezi mzm ukapita akiendelea hivyo kuna siku akaniambia kuwa yote niliyokuwa nakufanyia ni sababu ya msichana mmoja hivi Fb aliponitajia jina la huyo girl alikuwa ni rafiki yangu ikanibidi nimwambie yule msichana waendele kwa kuwa alinikana kuwa alishaachana nami yule girl nae akamkataa.

Sikupenda hali ya mpenzi nikaomba tuyamalizee tuendele katika mahusiano kumbe ndo nakaribisha tatizo lingine
baada ya kuwa pamojaa akawa hayupo kama awali hazikupita siku nyingi akaniambia sihitaji msichana sikuweza kumlazimisha kwa kuwa ni uamuzi wake nikaendelea na mambo mengine ukapita mwezi.

Nikiwa naumwa miguu sikufahamu nani alimpa taarifa akawa ananijulia hali kama mwanzo akanibembeleza nikamwambia mimi na mavazi ma baya kila sifa zote mbaya ninazo lakini kwa kuwa nampenda nikasahau yaliyopita nikarudiana nae kama mwanzo.Baadae nikapoteza usichana wangu kwa jinsi nilivyompenda nikawa na imani yeye ni wa kwanza na wamwisho kwangu .

Duh kumbe nimewrong nikimuhitaji hataki kuonana nami nikaona likizo chungu.tukienda lodge hataki kutoa fedha yake mara naumwa visingizio vingi me nitoe zaidi yeye yake inamipango minginee.Nikichelewa kidogo kufika alipo anazira na kununa akaanza maringo yake kama mwanzo mara sweet names kwa fb accnt yake kutoka kwa girlz akanimbia nawe waite sikujali hilo hata alipo niunfriend kwa Fb account yake.

Nikabidi niondoke sikutaka rikizo yangu iwe kikwazo kwa wengine akaendelea na tabia yake kama mwanzo tena akazidi hadi siku 5 zinaweza pita bila hata yeye kunitafuta ikaendaa hvyoo nikiuliza hana vochaa mara hapend kujiunga anagomba tu kuna day nikawa natoka kwenye kipind mdogo wang akanitumia msg akisema kuwa mpenzi wako ananisimbua Fb ananitaka nilipokuja kumuuliza yeye akasema yeye ndio kanishobokea.

Nami nikafanya hvyo ntakwambia kesho yaani anaona kawaida tu.sikuhitaji kumuuliza kufahamu chochote kwa kuwa nafahamu tabia zake zilivyo kuna siku nikachukua simu ya sister ili nidownload apparatus katika simu yake nilipochukua simu nikakuta sms za yule mdogo yangu anaishi dom ziliwa zinazungumzia mambo ya boy wangu
kuwa anamsumbua simu kila mara anataka waonane mara anafuture naye maneno meng niliumia sana kudhalilishwa vile nikiamini mwenzangu yupo busy na chuo hata kunitafuta kwa nadra mambo mengi kumbe busy na girls.

Nilipomwambia akaniblock whatzap zen akawa hatumi tena hata texts nikituma sijibiwi nikamwambia yaishe anisamehe yote kwa kuwa nampenda mwisho nikachoka kutuma massage akanitafuta alipopiga simu sikuwepo sikufahamu nani alipokea na kiliendelea nini nilipokuja mtafuta mimi alipokea simu akiongea kwa dharau na maringo, akaniambia amekasirishwa na nimemuuzi sana kwa niliyoyafanya kuhusu yeye na mdogo wang nikabaki nashangaa mimi ndo tatizo nimsamehe sana kwa kuwa yeye haitaji kuwa na mapenzi nami mwenye lawama ilibidi niende call nililia sana.

Mama akampigia bado hakuthamini yule ni mzazi akaongea kwa maringo kama awali mama hakusikiliza kwa sababu ya dharau aliyoionyesha. Sikuwa na jinsi ilibidi nibadili namb ya simu nikamuahidi sitamsumbua tena baada ya siku kupita nikakuta katika account yake ya Fb ameadd relationship na msichana mwingine tena.

Je, wapenzi wote wapo hivyo na kwa wengine?
kweli kabisa hata mimi niko hivyo kwa sababu na wanawake nao mko hivyo. vumilia unalialia kulizwa na mmoja tena vitu vidogo hivyo?!!! bado kijana utakayoyaona ni makubwa mara mia zaidi ya hayo we kua utayaona tu.

hujui kuwa binadamu wote ni sawa?
 
ndo nini hiki?
 
Nimeishia katikati ila take this
 
Attachments

  • 1438943618753.jpg
    1438943618753.jpg
    45.7 KB · Views: 1,392
Nooo hatupo hivyo huyo ni muhuni na ulichokosea kumpa penz mapema sasa anakuona kama mabaki ila siyo woote tupo hivyo pole sana jitahidi kusoma na fanya mambo mengine ili kupunguza mawazo ila ipo ck atakuja kukuitaji but uwe na msimamo bcoz anaeza kukletea magonjwa mtu anayekupenda lazima aonyshe heshima siyo dharau huyo akufai utampata wa kwendana naye vumilia
 
Soma msichana achana na wanaume, kama huyu ndo wakwanza kakutenda bado kama wanne hivi mpaka uolewe, jivike moyo wa chuma

Duh mbona wamtisha anaweza kumpata wa pili na akampata wa kweli amuombe tu mungu mambo yatakaa vizuri
 
duh kwa hiyo unasema mama yako aliongea na huyo kijana? mbona maandishi yanaonekana bado mdogo tu? kweli kizazi hiki kinaangamia, badala mama akuhimize usome kwa bidii yeye ndio anatia chumvi kwenye mapenzi yenu. huwa mnatumia kinga kweli?
 
Samahani lakini: hebu weka swali lako in summary tafadhali.
 
chakufanya bibie: deactivate acc. huko fb maana wamejaa watoto kibao na picha za kuedit, baki huku jf upanue akili kwa hoja yakinifu
 
Pole sana. story yako inaendana na yangu ila mimi ni me.kuna msichana alikuwa ananifanyia dharau kama boy wako ila mimi alizidisha dharau mwisho wa siku mie nikaona isiwe tabu nisije nikafa kwa presha bure nikachukua mamuzi magumu kama mh.... nimeamua kuconcentrate kwenye masomo tu huku mungu akiniandalia mke mwema mwenye kujua thaman ya mwanaume ....... we kazania masmo kwanza huku ukimuomba mungu akuandalie mwanaume mwenye upendo wa kweli huyo siyo nyota yako mkuu utakufa bure na msongo wa mawazo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom