Je, ni vibaya kuandika jina la mtoto katika kiwanja cha mke wangu?

Wewe ndo kichwa cha familia, lazima mali ziandikwe kwa jina lako, kuhusu kumuandika mtoto sio sahihi unless hamna mpango wa kuzaa mwingine!

mPANGO WA KUZAA MWINGINE UPO TUMESHANUNUA TOKKA MWEZI WA 9 MWAKA HUU SHIDA NI KUJENGA AMBAO ASILIMIA 70 NI PESA YANGU YEYE NITADHURIKA VP TUKIJA GOMBANA
 
Wanajamvi msaada, Mke wangu mtarajiwa amenishauri tununue kiwanja nikakubali na tukaamua kukinunua kiwanja hicho milioni mbili na akalazimisha tuandike majina ya mtoto wetu wa kwanza.

Tulizozana kidogo lakini nikakubali, sasa ananishauri na mimi nikakope benki ili tukajenge kwenye kiwanja chake maana anasema amechoka sana kupanga na ni gharama.

Je, kuna madhara kwangu kwa kuandika jina la mtoto kwasababu najua hicho kiwanja ni mke wangu aliyekinunua?

Usiende Kujenga Kwenye Kiwanja Chake,mshauri Mkiuze Mkanunue Sehemu Nyingine Na Usikubali Kuandika Jina Lake, Hata Kama Utajenga Kwenye Kiwanja Chake, Hakikisha Jina Lako Limo Kwenye Hati. Madhara Kwa Kumuandikisha Mtoto Wenu Wa Kwanza Yapo Kwa Watoto Wenyewe Kama Ikitokea Bahati Mbaya Mmekufa,mtoto Huyo Atakuja Kuwadhurumu Wenzake Atadai Nilijengewa Mimi Hii Nyumba Na Ndiyo Maana Inajina Langu,pia Angalia Huenda Huyo Mtoto Siyo Wako Anataka Ukikamilisha Kumjengea Ama Akuambie Live Au Akuue.Jihadh
 
Ndgu Jihadhari Sana,mkeo Anaonekana Ni Mjanja Sana,kuna Kitu Nyuma Ya Pazia Kimejificha,anampango Ama Wa Kukuangamiza Kwa Njia Ama Ya Kishirikina,akutumie Majambazi Wakuue Kisha Kwa Kuwa Umejenga Nyumba Yake Na Umeandika Jina Lake Na Umemjengea Mtoto Wake Hakuna Ndugu Wa Upande Wako Atakayemsumbua. Au Wewe Amekupendea Pesa Anataka Akuchune Akuache Patupu Akaolewe Na Anaempenda,KIFUPI KATAA MPANGO WAKE NA MSHAURI KIWANJA CHAKE MKIUZE MKANUNUE SEHEMU NYINGINE KISHA MKAJENGE NA HATI ZOTE ANDIKA MAJINA YAKO.
 
wewe mwanaume utakuwa msukuma au mnyamwezi maana hao wakigusa papuchi wanadata!!!
 
mPANGO WA KUZAA MWINGINE UPO TUMESHANUNUA TOKKA MWEZI WA 9 MWAKA HUU SHIDA NI KUJENGA AMBAO ASILIMIA 70 NI PESA YANGU YEYE NITADHURIKA VP TUKIJA GOMBANA

Wewe mwandike jina la mama, siku mkishindwana mahakama mtapiga pasu tu. ukiandika mtoto mkizaa wengine wawili hawatakuwa na haki ya kuishi hapo.
 
sishauri kuandika mr and mrs kwa sababu mrs jina hilo can be anybody
mfano mr and mrs jacob mushi kesho mmeachana kaoa mwingine fasta naye ataitwa mrs mushi.
instead aandike jacob mushi n maria chacha
kama swala ni kuwa na majina yote mawili katika hati.

Mawazo Mazuri...
 
Back
Top Bottom