Je ni Umaskini Wangu?

Fofader

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
860
293
Ni jioni ya leo siku ya Ijumaa ninapofanya matayarisho ya manunuzi ya vitu vya sikukuu. Nauliza bei ya kilo moja ya mchele mzuri naambiwa ni shs. 2,000/- !!
Ninapatwa na mshangao mkubwa. Bila shaka hii ni kasi kubwa ya mfumuko wa bei isiyoendana na kipato changu. Nifanyeje? Nishaurini wakuu ni chakula gani siku hizi unaweza kubana matumizi? Nawatakia sikuku njema na maisha bora kwa kila mtanzania.
 
Vyakula vya vary from one family to another... Lakini kama ndo kwa ajili ya sikukuu... Mkuu ukweli ni kwamba Mchele ndio chakula kikuu kwa ajili ya sherehe hizi kama X-Mas. Kinachobaki ni pesa ulobaki nayo yatosha nini Nyama ya ng'ombe, kuku ama samaki?

Kingine imefika wakati wa kupika chakula kwa kipimo sio kinazagaa tu, mara kimwagwe kwa ajili ya kuharibika. Hivo kweli siio umaskini wako ila ukweli ni kwmba maisha yamepanda mno!
 
Ni jioni ya leo siku ya Ijumaa ninapofanya matayarisho ya manunuzi ya vitu vya sikukuu. Nauliza bei ya kilo moja ya mchele mzuri naambiwa ni shs. 2,000/- !!
Ninapatwa na mshangao mkubwa. Bila shaka hii ni kasi kubwa ya mfumuko wa bei isiyoendana na kipato changu. Nifanyeje? Nishaurini wakuu ni chakula gani siku hizi unaweza kubana matumizi? Nawatakia sikuku njema na maisha bora kwa kila mtanzania.

Kaka wapi huko?
mbona rahisi sana?
 
Back
Top Bottom