Je? Ni sawa kwa watu hawa ku-staafu?

Je? Ni sawa kwa watu hawa ku-staafu?

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,733
Reaction score
14,160
Naam kwa fikira za kawaida tu....Wachungaji,wainjilisti,mapadre na ma sista hawa watu wamekula kiapo cha kumtumikia Mungu mpaka kufa kwao.Wameweka nadhiri.

Sasa pale wanapo staafu nini tafsiri yake?

Hasa kwa wale wanaostaafu bado wakiwa na nguvu.

Je? kwenye Biblia kuna nabii au mtume yeyote aliye staafu? au huu ni utashi wa wazungu as usual.

Halafu mwisho kabisa....swali la kizushi kuhusu Biblia halisi ambayo haikuchujwa mbona inafichwa???
 
Back
Top Bottom