Kumuoa mwanamke aliyezalishwa ni sawa na kufunga ndoa na mke wa mtu

Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
9,682
34,394
Wakuu kwenye harakati zangu za maisha niliwahi kukutana na mwanamke ambae nilijuana nae kupitia rafiki yangu, yule mwanamke kuna msaada flan wa kikazi aliuhitaji kutoka kwangu hivyo akamuomba yule rafki yangu amsaidie kuongea na mimi kuhusiana na shida yake.

Yule rafiki yangu alikuja kunieleza na hapo ndipo nikaanza mawasiliano ya kawaida na yule dada, nilimsaidia na badae tukaendelea na mawasiliano tu ya kawaida, niliogopa kumtongoza ili asije kuniona labda nilimsaidia ili anilipe ngono hivyo nilijiepusha na hilo licha ya kuwa aliniingiza kwenye mitego mingi.

Siku zilienda na badae akanieleza ukwel wake, kwakua alikua ni mrembo aah mi nikaona isiwe kesi nikaanza mahusiano nae bila kujiuliza mara mbili, alikua ni mtu anae jiheshim, suala la kuniomba hela lilikua ni mwiko kwake hadi nikawa najishtukia nampa mwenyewe tu.

Badae alikuja kuniweka wazi kuwa ana mtoto alizaa na jamaa mmoja ambae alikuja kumtelekeza, iliniuma sana kwakua yule jamaa aliezaa nae alikua na kaz alaf akawa hampi matumiz yule dada, nilimshauri yule dada aende kweny vyombo vya sheria ili yule jamaa abanwe awe anatoa matumiz kwa mtoto wake.

Lakin yule dada alikua akilipiga chenga sana hilo suala na hapo ndo nlipogundua kuwa Bado anamapenzi na yule jamaa yake wa mwanzo licha ya kuwa ametelekezwa, ndipo na Mimi nikala Kona kali sana nikamuacha kama vile bado nipo nae lakin badae mawasiliano nikayafutililia mbali na kumblock kabisa, niliogopa yasije kunikuta yake ya kuambiwa nataka nimpeleke mtoto akamsalimie baba yake, si unajua mtalaka hatongozwi.

GunFire
 
Ndoa siyo maigizo dada

GunFire
Kwaiyo walio OA masingle mother wanaigiza?...KAMA WEWE HUWEZI KUOA SINGLE.MOTHER NI WEWE...watu kibao wanaoa single.mother...kuna.mtu kaolewa hapa anawatoto wanne..kila mmoja babake..Kwaiyo usitupe shida na misimamo yako...Kutujazia server na mada ambazo ZIMESHAZUNGUMZWA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ntamuoa pale ambapo Aliezaa nae amefariki
Kwaiyo walio OA masingle mother wanaigiza?...KAMA WEWE HUWEZI KUOA SINGLE.MOTHER NI WEWE...watu kibao wanaoa single.mother...kuna.mtu kaolewa hapa anawatoto wanne..kila mmoja babake..Kwaiyo usitupe shida na misimamo yako...Kutujazia server na mada ambazo ZIMESHAZUNGUMZWA SANA.

Sent using Jamii Forums mobile app

GunFire
 
Sijui kwann wavulana ambao ni insperational speakers hawapevuki.

Watu wamelelewa na baba wa kambo, wakasomeshwa na wao sasa wana wake na watoto na sasa aliyekuwa single mother ni bibi mwenye wajukuu na bado yupo pamoja na mumewe ila akili za kivulana bado zinang'ang'ana na insperational speech za single mothers.

Hivi Boys brain waelekezwe mara ngapi kuwa umalaya ni tabia bila kujali huyo malaya ana mtoto au la?

Wanaume kamili wanaweza muoa hata mwanamke mwenye mtoto wa umri wako na akatulia na maisha yakawa na furaha mradi si malaya.
 
Si wote ila kuna ambao huwà hawajielewi kwanini wameachana na wenza wao hao ndiyo rahisi kurudi alipotoka!
 
Wanawake tunashida Sana..ukizaa hujaelewa Malaya...ukichora tatoo Malaya ukivuta sigara Malaya...Ukivuta bangi Malaya...NAUKIAMUA KUKIUZA MALAYA...

Wanaume wanataka perfect women...Hakuna perfection in life.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wee jamaa bwana kweli sio mgegedaji. sasa hapo mie sijaona huyo demu kutaka ndoa. wee ulitakiwa kuendelea kula vyako tuu bila maswali mengi. papauchi haisuswi kaka.
pale angeanza mambo yakutaka ndoa wewe ndio ungejiachia.
 
Mbona hamna critical reasoning ni mwendo wa kukariri tu.

Wavulana mbona mnazidi kuwa wengi badala ya kupunguamnasababisha maisha kuwa magumu wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wee jamaa bwana kweli sio mgegedaji. sasa hapo mie sijaona huyo demu kutaka ndoa. wee ulitakiwa kuendelea kula vyako tuu bila maswali mengi. papauchi haisuswi kaka.
pale angeanza mambo yakutaka ndoa wewe ndio ungejiachia.
Mkuu suala la ndoa lilikua limeshaanza kuzungumziwa hapo alianza had kuniita mume wakat baba mtt wake yupo na anampenda kiaina mi nikaona ananipenda kinafki ti

GunFire
 
Mkuu suala la ndoa lilikua limeshaanza kuzungumziwa hapo alianza had kuniita mume wakat baba mtt wake yupo na anampenda kiaina mi nikaona ananipenda kinafki ti

GunFire

ah ok...kama ni hivyo mzee ulifanya la maana. maana dah hawa single mothers kwa kweli watamu ila usijekuwa mjinga ukaoa kabisa.
 
Back
Top Bottom