Simara
JF-Expert Member
- Oct 1, 2014
- 7,617
- 24,269
Habari Wakuu sipo vizuri sana kwenye kuandika hivyo kwenye mapungufu mnivumilie.
Nina mtu wangu wa Karibu ni mama wa watoto watatu huwa anajifungua kwa Kisu, sasa anauliza je ni salama yeye kufikisha visu vitano kwa maana kuwa azae mara tano au akapandikize mapacha ili apate visu mara nne?
Anapenda aje kuwa na watoto watano.
Asanteni sana.