Je, ni sahihi??!

nilikuwa napika mwenyewe, niliweka house gal, kwa wewe weka house boy!

Mh..age izi ntamlipa ngapi. Si nlisikia wana umoja wao..nsijefungwa mie.
 
kha!kha!mke wa mwenyewe mzee wa maphoto Asprin umebadilisha avatar umependeza hadi nimekusahau du! af kwa uzuri tu nauliza hivi Mentor na uzee wote huu hajaoa tu

1. Kuoa wito.
2. Ata ukitaka kuoa niambie utamuoa nani.
 
Last edited by a moderator:

Senkyu BADILI TABIA a.k.a. Bibi mdogo...
Ngoja nfike ghetto nikai-customize.
 
Last edited by a moderator:
ahsante cacico, mi nilishamwambia Mentor bila kupeleka posa home huduma za kupikiwa, kufuliwa, tendo la ndoa hatopata.

Jamani babes..lazima chupi ufulie nje lakini??!
Ila si ulinambia hutaki kutiana na mimi kwa sababu we ni bikra...au??!
 
Last edited by a moderator:
RATIBA YA USIKU TU
J3. Ugali wa maziwa
J4. Wali mkavu
J5. Uji wa pilipili
Al. .........(deshi a.k.a ndefu)
Ij. Ugali na picha ya samaki
Jm. kande
J2. Chipsi kavu

We Maprosoo unaitaji kufundwa.. cacico naomba umsaidie.
 
Last edited by a moderator:

Nimelichukua ilo la stock...senkyu mamii.
Ivi wewe babu Asprin ni nani kwako...kama nimewaona in a ver compromising pic pamoja.
 
Last edited by a moderator:
RATIBA YA USIKU TU
J3. Ugali wa maziwa
J4. Wali mkavu
J5. Uji wa pilipili
Al. .........(deshi a.k.a ndefu)
Ij. Ugali na picha ya samaki
Jm. kande
J2. Chipsi kavu

Wenzio wameenda Olympic malaria ikawarudisha, wewe utapiamlo ndo utakuua kabisa!

Yaani nacheka alone Kama chizi
 
Mie sina ratiba ya kuvaa nguo wala ya misosi. Napenda kuji-surprise following my mood.
muhimu zaidi, Nadhani kufanyiwa shopping once a month kwa vitu general inasaidia. Except for vegetables na maziwa.
ji-surprise, waza kitu na ukipike. Mfano, unaweza Kaanga Mayai kuweka all sorts of vegetables. Michemsho etc. mie staki nikiwaza jumatatu nakumbukia wali mkavu Kama maprosoo, au spaghetti na kachumbari! Trick nzuri ni kutumia spices tofauti kila Siku kwa simple meals.

Funga kazi, kwa lipid mahari Yule mke ulichaguliwa na dadako utatue tatizo hili ili unanze tatizo jipya la 'umechelewa wapi'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…