Je ni sahihi serikali iingie kulipia mikutano na warsha kwa sababu tu hotel zitafilisika

Gmark

Senior Member
Nov 6, 2015
138
30
Nimeona katika blogs wamiliki wa mahotel wakilalamika kuyumba baada ya magufuli kusitisha warsha zisizo na tija. Sasa kumbe magufuli alikuwa sahihi, yaani utajiri wa mahoteli mijini ulichangiwa na warsha za serikali! Basi uamuzi huo ni sahihi. Inapaswa hotel zitegemee utalii wa ndani na nje si pesa za warsha za serikali, uamuzi wa raisi utafanya akili za wafanyabiashara zichangamke na wengi wao watafute elimu husika
 
Back
Top Bottom