Je ni sahihi nilichofanyiwa?

Je ni sahihi nilichofanyiwa?

achana nae. hiyo vita ina gharama sana. kama huna vyeti tafuta nafasi ya shule ujiongeze utafute kazi pengine. utachukiwa na ofisi nzima.

mungu mgawa riziki, fanya kazi kwa bidii na ipo siku utaonwa juhudi zako na wastaarabu. choose your battles wisely
 
naona hujaandika vizuri ikaeleweka. unasema kuna afisa mmoja alikualika, ofisi/ kampuni hiyo ni yake? ni bosi wako kazini? umuhimu wa warsha hizo nini? je ni pesa peke yake? wewe hupati pesa bila warsha? yeye ndiye kashika ajira yako? kwa nini akualike wewe tu? ameshakupa uchaguzi ndoa na pesa sasa umeshindwa chagua? kwani wewe ndo unahudumia mme wako? kwani hulipwi mshahara hadi uende warsha?

yupo elimu na tulialikwa kama kumi hv jinsia tofauti.
 
Hiyo ni sexual harassment ya hali ya juu, nenda TAMWA, mfyatue tu.

Hana adabu hata chembe huyo, hiyo rushwa anayoitaka ni dhambi kuliko rushwa ya kuomba pesa. Maana ni dhambi (rushwa) juu ya dhambi (zinaa).

mbaya zaidi siku Mme alipoina SMS nikapigwa mkwala nitulie hivyo akaanza kuchati nae kwa SMS na afisa akajimwaga akijua anachati na mm baada ya hapo Mme kasafiri takribani mwezi sasa na alizichukua zile sms na kuondoka nazo.
 
Namba yako ya simu huyo ofisa aliipataje? pagumu hapo
 
Mmmmmhm....
Date of Birth October 31, 1999 (14)....
TUZIRUDIE TU ID ZETU ZA ZAMANI....
umenena mkuu. kuna mtu aliwahi kupost humu kwamba hata utumie user name, avatar fake haziwezi kubadili uhalisia wako
 
Weka hizo meseji zake Hapa jamvini tukushauri zaidi kusuka au kunyoa,ni afisa wa namna gani huyo weka details zaidi na je ni member humu JF tumuwajibishe
 
Namba yako ya simu huyo ofisa aliipataje? pagumu hapo

ananifahamu tunafanya kazi idara moja yy yupo mkoa jirani nami kumbuka nimeshakwenda semina miezi michache iliyopita na ndipo alipoanzia hivyo vikopakopa vyake na kiukweli nilikuwa namuheshimu kama baba na kumpa heshima hiyo.
 
umenena mkuu. kuna mtu aliwahi kupost humu kwamba hata utumie user name, avatar fake haziwezi kubadili uhalisia wako

watu8 "Ingawa tunatumia AVATARS na USERNAMES ambazo ni FAKE, bado haibadilishi uhalisia wa MIOYO YETU"

 
Naombeni ushauri wana jf kuna ofisa mmoja alinialika kwenye warsha nilikwenda na kushiriki siku kadhaa nikiwa huko akanitaka kimapenzi nikamweleza kuwa Niko kwenye ndoa niliporudi nyumbani akatuma msg ya mapenzi kwangu kuwa nikimpa atanifanyia makubwa hiyo msg ikaonwa na Mme wangu ugomvi mkubwa ukatokea na nikamweleza Mme Wangu hali halisi,na kumtaarifu yule afisa kilichojili sasa siku chache zijazo kuna semina nyingine Jana kanitumia ujumbe hawezi kuniita tena eidha nichague ndoa au pesa na kujiendeleza kielimu naomba ushari kabla sijamuanika kwani Nina msg zake nyingi za kijinga na nimeona kama unyanyasaji kwangu.

Mimi naona sio lazima kulipuana u can succeed kumlipua mkawekeana mabifu yasioku na msingi what I suggest usiende semina na uendelee na maisha yako hata kama ni bosi wako kuwa na msimamo hakuna raha ya semina kama huna amani na maisha yako
 
siyo sahihi amekuonea sasa mwambie pesa sitaki nataka ndoa

na kilichonistua kama mm kanitamani ni wangapi kawaita na kawafanyia kama mm zaidi ananiambia hata jamaa aje na bunduki hawezi niacha na Mme kazinasa hzo SMS kwani alituma kwa mkupuo.
 
ananifahamu tunafanya kazi idara moja yy yupo mkoa jirani nami kumbuka nimeshakwenda semina miezi michache iliyopita na ndipo alipoanzia hivyo vikopakopa vyake na kiukweli nilikuwa namuheshimu kama baba na kumpa heshima hiyo.
Inawezekana huko ibilisi aliwapitia kwa bahati mbaya mkategemea yangekwisha kwa bahati mbaya ofisa nae akanogewa, nafikiri ofisa hajakosea labda kuna vitu mmeshindwana ndo maana inaleta mtafaruku wote huo.

Jitahidi kumsisitiza mumeo ikiwezekana mpe mumeo namba ya ofisa ili mumeo ampigie ofisa waongee kiume kuhusiana na usumbufu unaoupata inaweza saidia
 
Mmmmmhm....
Date of Birth October 31, 1999 (14)....
TUZIRUDIE TU ID ZETU ZA ZAMANI....
Tyta aisee...

Badala ya kutundika kapicha umetundika umri

Mwenzio ataona aibu
 
Last edited by a moderator:
Hatari kidogo lakini..kama huna vyeti.. upo kwa hisani yake.. unaweza kutoa papuchi..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom