Je ni sahihi nilichofanyiwa?

Je ni sahihi nilichofanyiwa?

umekosea wewe chukua hela hakuna kumpa papuchi kwani atakubaka?
 
Naombeni ushauri wana JF

Kuna ofisa mmoja alinialika kwenye warsha nilikwenda na kushiriki siku kadhaa nikiwa huko akanitaka kimapenzi nikamweleza kuwa Niko kwenye ndoa niliporudi nyumbani akatuma meseji ya mapenzi kwangu kuwa nikimpa atanifanyia makubwa.

Hiyo meseji ikaonwa na Mme wangu ugomvi mkubwa ukatokea na nikamweleza Mme Wangu hali halisi, na kumtaarifu yule afisa kilichojili. Sasa siku chache zijazo kuna semina nyingine, jana kanitumia ujumbe hawezi kuniita tena eidha nichague ndoa au pesa na kujiendeleza kielimu.

Naomba ushari kabla sijamuanika kwani Nina meseji zake nyingi za kijinga na nimeona kama unyanyasaji kwangu.

huko kumuanika kumekuja baada ya kukunyima kwenda kwenye semina!n way nijuavyo mimi ofisini ni sehemu ambayo tunatumia muda wetu mwingi wa kila siku hivyo kwa njia yoyote ile inatupasa tuishi bila vinyongo!cha muhimu muite tu umueleweshe vizuri kabla ya kuamua kufanya chochote,je kama mumeo angekuwa hajaiona hiyo msg ungenda kumstaki bado??mweleweshe vizuri tu kwamba uko kwny ndoa na maneno mengine atakuelewa kama kichwa chake ni kizuri.
 
hiyo ni fursa. chonga na OFM Watakupa mkwanja na huyo jamaa ata make headlines kwenye magazeti pendwa
 
Simamia Kwenye Ndoa Yako Pesa Inapatikana Hata Nje Ya Yeye,lakini Akikung'ang'ania Umkamatishe Rushwa Ya Ngono Kwa Kumwekea Mtego Ili Kukomesha Tabia Hiyo Mbaya Ya Watu Wenye Dhamana Waliyopewa Na Umma Kutumia Ofisi Vibaya.
 
Mpe tu huyo Afisa kwani mmeo hakukuta bikra, mbona ulikuwa ushawagawia wengi tu kabla ya kuolewa, hivyo ndoa isiwe mwamvuli wa matendo yako.

Jamani mwenzenu akiomba ushauri toa ushauri kama huwezi hacha kabisa! Sijapenda comment yako😡
~~~will be back soon~~~
+
 
Kama unampenda MPE tu....hayo ndio maisha ya KIO-FISI, Tukisema wanawake mkae majumbani kwa kazi ILE tu HAMTAKI
 
Kuna kitu tunaita Sexual Harrassment, nina amini ofisi yako ina reporting chain kwa issue za namna hii, boss wako ana boss wake.... Huna haja ya kusumbua kichwa ikiwa ushahidi unao unless otherwise unahisia kwake na huitaji ndoa.
 
pole sana take care ndoa ni ya muhimu tu em shirikisha ubongo ujue unayamaliza vip na huyo boss
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom