swagazetu
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 4,250
- 1,467
Assallaam Aleikhum wasalaam.
Wote tunafahamu kuwa serikali ya Mh.Magufuli imekuja na utaratibu wa kuapisha watumishi wa serikali ili kudhibiti utendaji kazi.
Nimetembelea shule kama nne hivi karibuni na kukuta wakuu wa shule wamewashikisha Bible na Musaaf waalimu na mikono wameweka juu na kiapo kushoto.
Hivi nani mwenye sifa ya kuapisha mtuvmwingine au kiapo hakina kanuni?
Nijuavyo mimi ni mwanasheria aliyefikia ngazi ya Hakimu au aliyejasimiwa mamlaka ya kutoa kiapo.