Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

Je, ni sahihi mke kupanga chumba?

happy amos

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
251
Reaction score
434
Iko hivi nimekua katika ugomvi wa mda mrefu na mwenzangu( mume) bila kupata suruhu

Maumivu ni makali hasa dharau ndani mtu kuwa na wanawake hadharan Wala hajali hata ukilia unaoneka unampigia kelele tu. Nimeamua kurudi nyumban kwanza kupumzika.

Ninawiki sasa nataka nirudi kwangu ila nikapange chumba sababu ninabiasharaa uko na nimefungua, pia ninamtoto nadhan trh 19 anafungua shule.

Ninavikoba marejesho ya kutosha natakiwa ada mtoto akifungua shule, maana sio mtoto wake, je nikiendelea kukaa nyumban haya mahitaji nitafanyaje?

Nawaza nitoke na godoro nyumban nikapange tu Ili niendelee kujipatia mahitaji
 
Me nakushauri rudi kwa baba mtoto uliyezaa naye uku mtaani utaliwa mbususu adi ukome nakuambia kimbia haraka sana maisha ya usingo mama yatakutesa sana kiukweli na unaonyesha dhairi ww unashida maana ni mme wa pili sasa uyo anakuacha kaa chini tafakari unapokosea na ujirekebishe
 
Inaonekana una wivu we rudi kwako uforcus kwenye biashara achana na habari za wanawake.
 
Wanawake wa sikuhiz wanajifanya nao n wanaume ndan ya nyumba

Kushindana n kawaida na wanaume zao

Na hii kitu inayoitwa VIKOBA narudia Tena VIKOBA mbususu za wadada zipo rehani kwa marejesho

Wanakopa lakn hawana vitanda Wala magodoro
 
Huwezi kungangana sehemu ambapo thamani yako haithaminiwi wala furaha yako huipata. Kama upo kwenye mahusiano ila hupati furaha na thamani yako haithaminiwi kimbia haraka sana.
 
Huyo ni mumeo au mwanaume tu unayeishi naye?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom