LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 13,286
- 18,023
unajua matumizi bora ya barabara? Barabara si sehemu ya kufanyia ibada wala biashara utasababisha kero kwa wapita njia. Ni matumizi mabaya ya mipango mijiKariakoo kuna mitaa zaidi ya mia kinachofanya ung'nga'nie kupita hio mitaa mitano wanaoswali waislamu ni kipi! Km sio ukorofi wako.