Je ni sahihi kwa mwanaume?

Je ni sahihi kwa mwanaume?

Rashford Lingard

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2018
Posts
938
Reaction score
1,152
Je kuna matatizo yoyote kwa mwanaume kula mboga aina ya mlenda? Naomba kuwasilisha
 
Mlenda ni mzuri kwa afya ya viungo, inaongeza utelezi sehemu zamaungo kama magoti, uti wa mgongo na viwiko.
Na benefits nyinginezo nyingi kwa mlenda wa bamia.
Kwa mlenda wa kigogo, unaimarisha mfumo wa chakula na kuongeza virutubisho, kupata choo laini n.k
 
kiswahili kimeharibiwa sana, basi tu!!...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom