igembe2018
Member
- Mar 3, 2018
- 18
- 10
Majina tunayowaita wanawake wanaoolewa inawezekana kuwa yanachangia sana kudidimiza hadhi na heshima ya wanawake na kuonekana kama wapishi na wahudumu wanaowatumikia wanaume. Nimeona niweke uzi huu ili tuyajenge. Sina lengo la kupotosha au kupendelea upande wowote. Naomba kuwasilisha