kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Nilikuwa na marafiki zangu weekend iliyopita tukibadilishana mawazo. Punde likajitokeza swala la kupokea simu ya mpenzi wako. Wengine waliunga mkono, wengine wakapinga kabisa. Kwa sababu hapa kuna mgreater thinker japo kuna kawabwa wapo vilevile, nikaamua kulifikisha swala hili hapa jamvini.
Kuna rafiki yangu moja alichangia akisema, katika vitabu vyote vya dini vinasema hakuna taratibu za ku treat our partner's property. Japokuwa katika biblia inasema kitu ambacho ni cha mke wako, mume wako ni chako pia. Ndoa inawafanya kuwa kitu kimoja. Ila ni vigumu sana kwa watu ambao awaishi kwa maelekezo ya dini katika maisha yao ya kila siku kuwa kitu kimoja. Hili linaweza kufanya baadhi ya watu kuweza na baadhi ya watu kushidwa.
Rafiki yangu mwingine akasema sio big deal kama kuna uaminifu, ni vyema wapenzi waamue kwa pamoja kuweka makubaliano.
Mwana MMU, Tulonge
Aminia!