Kipindi cha utumishi wa kiongozi fulani wa serikali ndio muda maalum wa mkataba wake kisheria. Majaliwa mkataba wake kama Waziri Mkuu wa JMT ulikoma jana, hadi hapo Mh. Rais atakapomteua upya.
Kudos kwa mfano mzuri, ila kamwe usiweke jina la Mr Mzungu na cheo cha Urais kwenye sentensi moja. Huyo jamaa hafai cheo chochote cha uongozi kwenye nchi yetu. Anaweza kuwa raia kama raia wengine. Period.
Pia Katiba inajichanganya kwa kusema mara Bunge linapovunjwa Wabunge wanakoma kuwa Wabunge, na bila ubunge mtu hawezi kuwa waziri wala waziri mkuu, ikiwemo Urais!! Yaani Rais nae anakoma kuwa Rais.