DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,381
- 29,627
Nimeshuhudia katika baadhi ya couples, unakuta katika mahusiano yao, yupo mmoja anayejitoa zaidi kwa mwenzake kwa hali na mali. Lakini upande mwingine unaonesha kutojali hayo matendo ya mwenzake.
Inafikia kipindi yule aliyekuwa anajitoa kwa hali na mali na yeye anaamua kuuchuna, mwishowe yule ambaye amezoea kutendewa mema anaanza kulalamika. Je ni sahihi kumlalamikia mwenza wako anapoamua kuuchuna ukizingatia kipindi anakujali hukuonesha ushirikiano wowote?