Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,449
- 11,318
Labda nimuulize Rayns yeye huwa anasemajeππ huwa nashangaa tu
Pamoja mkuuDah kwelii
Nzuri iyoNilimkuta hayupo β
Nilikuta hayupoβ
Sikumkutaβ
Ahahh mzabe kofi π€£Huwa nacheka sana nikiskia mtu anaongea hivo,,,ππππ
Ahaha nika yeyukaMwnyw nilikuja dukani kwako kununua mapazia nikakukuta haupo
Kiswahili fasaa hapo tuna semajeKiswahili kimeharibika tu kwa sasa, hatuongei tena vile inavyotakiwa, angalau hapa jf watu wanakuja na lugha zao mwisho wanajifunza.
Kuna ile mnasema, "nasikiliza nyimbo ya harmonize", yaani wimbo mmoja mtu anasema anasikiliza "nyimbo ya"!
Wimbo...singular.Kiswahili fasaa hapo tuna semaje
Kweli mshua hapo uhakikaWimbo...singular.
Nyimbo...plural.
Ninasikiliza wimbo wa harmonize.
Ninasilikiza nyimbo za harmonize.
Naona maziwa tuSsa nime mkuta hayupo ime tokea wapi
NdioNimekuta hayupo, na hapo nimekosea?
Wakenyea kibokoKiswahili ni lugha yetu lakini tunababaisha.
Kwangu...