Je, ni sahihi askari kulia msibani?

Askari hata akilia anatakiwa alie huku anaangalia mbele na machozi tu ndo yatoke siyo saut na siyo kulia huku umefcha macho hivyo utaonaje hatar sasa
 
Umesema vyema. Yaani skauti asiliie ila JWTZ alie haya ni maajabu.
 
Askari hata akilia anatakiwa alie huku anaangalia mbele na machozi tu ndo yatoke siyo saut na siyo kulia huku umefcha macho hivyo utaonaje hatar sasa
Kweli mkuu
 
Awa ni US marine wenzao wamekufa wanalia
Tuachane na mambo kusema wasilie
Your browser is not able to display this video.
 
Kama mm nimelia yeye ni nani asilie wakati boss wake anaempa mshahara p kafa?.

Wanaume ndo maana mnakufaga napema mnasingizia wanawake wamewaroga.mnaficha maumivu moyoni hatimae mnauwawa na sumu mlotengeneza wenyewe.

Sisi walaa nikikwazika tu nalia weee najifariji kwa mtukana mhusika hata kana hasikii ikishindikana namwambia na shoga, shoga mwenyewe kama nae kichwa mbovu anakuongezea sumu unalia vizuri😂😂😂
 
Yah, you never miss a good thing until it's gone.
Nimerealize jana kuwa nilikuwa namkubali
Binafsi nilikuwa sijui nikisikia watu wanasema magoti yanakosa nguvu ila siku nimepokea taarifa ya msiba nilijikuta napiga magoti mwenyewe maana nguvu zilipungua sana
 
Ni kweli mbona skauti huwa hawalii?
Tulijua umetoa mada unamaanisha kumbe una kamfumo flani ka dharau kamekaa flani rohoni mwako ili uonekane umewashusha Masoja wetu kwamba nawewe ni Great thinker,mwisho wa siku acha shobo na vyombo vya ulinzi na usalama mwaisa.Sokapo apo.
 
Mwaisa wewe ni soja acha kulia. Wewe ndio unatakiwa kuwafariji na kubeba wanaozimia.

Umeona watoto wa SKAUTI hawalii ili wewe uliyekaa depo miezi 9 na zaidi...

SOKAHAPO
 
Ulitakiwa ufanye utafiti mdogo tu kabla ya kupost nadhani usingeandika chochote. Askari hata wazoefu na wenye vyeo zaidi ya huyo hulia.

Unge search hata youtube ungepata video nyingi sana

Hakupaswa kulia akiwa on detail.

Kama alikuwa ni sehemu ya waombolezaji basi ruksa kulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…